huyo hajabobea vya kutosha, kubobea vya kutosha ni hadi ufanye super specialization i.e PhD (Doctor of Philosophy ).
Kweli mkuu hiyo kozi ni universal, hasa ukiisoma Masters unakuwa na uwanja mpana wa kuiendea AsaliWakati tunaendelea kuchangamsha uzi, ili wanaotafuta sehemu za kulala kwenye Saili waukute kirahisi, wakuu nimegundua kwa mtu anayelenga kuajiriwa kwa programu tofauti na za Sayansi ajikite kusoma Business Administration, yani hii kitu kwenye nafasi zinazotangazwa karibu zote wanaruhusiwa kuomba.
Hata za ulinzi hawa jamaa wanapewa nafasi. Hii sijui imekaaje, wakati kuna wengine kozi zao wanabanwa sana, hawawezi kuomba tofauti na walichosomea moja kwa moja!
haina issue hiyo, kozi zenye maslahi ni MD,PHARMACY,NURSING, UPIMAJI ARDHI,USANIFU MAJENGO,Kweli mkuu hiyo kozi ni universal, hasa ukiisoma Masters unakuwa na uwanja mpana wa kuiendea Asali
Kuna jamaa ni Surveyor naona mambo yake sio mabaya, ameingia kwenye mrija juzi kati kupitis PSRS.haina issue hiyo, kozi zenye maslahi ni MD,PHARMACY,NURSING, UPIMAJI ARDHI,USANIFU MAJENGO,
haina issue hiyo, kozi zenye maslahi ni MD,PHARMACY,NURSING, UPIMAJI ARDHI,USANIFU MAJENGO,
Kuna Lodge inaitwa Galilaya,iko kisasa kule.mimi huwa nikienda Dom huwa nafikia huko.bei yake ni 15,000/=haina maji ya moto.asubuhi wanatoa chai mkate na yai moja.binafsi me naona iko vizuri tu.mnaweza mkaitafuta tu vijana.
hizo ajira za bussines admini si ndio zile nafasi 10 watu 2000Ni kweli Mkuu, kwa upande wa masilahi uko sahihi sana. Ukija upande wa pili, kwa anayelenga ajira za Serikali ndipo changamoto ilipo. Business Administration ana wigo mpana wa kuomba idadi kubwa ya kazi zinazotolewa kuliko hizo ulizo orodhesha, au unaonaje mkuu?
hizo ajira za bussines admini si ndio zile nafasi 10 watu 2000
Hahaha, ndio hizo Mkuu. Kizuri kila PDF wana nafasi zao, ukiacha zinazohitaji watu wa Sayansi.
Lakini zile programu ngumu ngumu ndio nyingi zinataka watu wachache sana, na zenyewe kutoka ni adimu unaweza pishana na PDF nyingi sana haziwahitaji, kizuri ni ukipata umetusua.
Kutoka kituoni mpaka ilipo ni mwendo wa kutembea kwa miguu kwa dakika zisizozidi tano tu.Mkuu asante sana kwa kutujuza, binafsi nimeipenda sana. Hasa hapo kwenye kutoa chai mkate na yai.
Vipi kwa asiyewahi kabisa kufika Dodoma anaweza kutamani kufahamu, kutokea ilipo Galilaya lodge ni gharama kiasi gani kufika eneo la usaili UDOM na je umbali unaruhusu kuwahi saili za mapema?
Natangulisha shukurani.
Kutoka kituoni mpaka ilipo ni mwendo wa kutembea kwa miguu kwa dakika zisizozidi tano tu.
Kutoka kisasa mpaka udom unaweza ukachukua daladala zinazotoka nanenane kwenda udom au ukaenda mpaka sabasaba ukachukua daladala zinazoelekea udom.kama mfuko unaruhusu unaweza chukua boda mpaka udom ni elfu 5 tu.
Tunaendelea kuliangalia mkuuHili nalo mkaliangalie....
😂😂😂😂Watu wameshakandwa huko tayariWadau mpo kimya kulikoni.
Updates za accomodations za gharama nafuu zimeisha?