Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Wew ni mtu mzima kweli,mbona Kam muoga muoga??
 
JKCI walinipiga kibuti mapema kwenye shortlist hata kabla sijajiandaa kwa mkando wa written[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaha, Mkuu kuanguka mara moja hakumaanishi kuanguka milele.
 
Sawa mkuu, ngoja nisubiri zari la NAOT ili nifunge mwaka

Kuwa na amani Mkuu, NAOT ni lazima wakuite. Hivi nafasi yako uliyoiomba kwenye Ofisi hii inahitaji watu wangapi?
 
Hizi post za nafasi moja ni hatari kama post zangu yani ikizidi ujue wanataka watu wawili sasa interview zake inakuaga kama wanataka kuua mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa, ndio maana mimi sijaweka matumaini hata ya kuitwa kwenye written
 
Hahahahaa, ndio maana mimi sijaweka matumaini hata ya kuitwa kwenye written
😂😂😂😂Yani post zangu nikiitwaga interview kwanza kichwa kinaanza kuuma maana wanataka mtu mmoja halafu unakuta tupo mia sasa hapo written itakayokuja hapo acha kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani post zangu nikiitwaga interview kwanza kichwa kinaanza kuuma maana wanataka mtu mmoja halafu unakuta tupo mia sasa hapo written itakayokuja hapo acha kabisa
Kupambania nafasi moja inahitaji utoboe sana, yaani usikosekane top 3 kuanzia written
 
Hizi post za nafasi moja ni hatari kama post zangu yani ikizidi ujue wanataka watu wawili sasa interview zake inakuaga kama wanataka kuua mtu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yani nimeshtuka sana, kuna kila haja ya kuwa jasiri ili kufanya maombi ya nafasi chache sana kiasi hicho.

Lakini yote kwa yote kila mtu ana nafasi yake muda wake ukifika. Kama sio nafasi yako hata wahitajike watu 50,000 bado utakosa.
 
Huna naamini hivyo kama wakati wako umefika utapata tu maana huwa inakatisha sana tamaa kuomba kazi kwenye post moja tu
 
Mrija wa Asali haujawahi kuwa mrahisi kabisa

Hahaha, ni kweli na naamini ni lazima watakuita, anza maandalizi kabisa Mkuu, naona tangazo likishatoka muda huwa hautoshi mpaka kufika Written.
 
Hahaha, ni kweli na naamini ni lazima watakuita, anza maandalizi kabisa Mkuu, naona tangazo likishatoka muda huwa hautoshi mpaka kufika Written.
Leo nimepitia job descriptions zikiwa zimechapwa kwa kiswahili, sijui kwenye pepa napo wataleta kwa kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…