Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe jobless wanamudu hadi utelezi..

Hahaha, kuna namna Mungu amewabana sana jobless, japo pesa hawana lakini wanajikuta wana mahitaji ya lazima.
 
Morena hotel patakufaaa mkuu

Mkuu, tugusie huduma na gharama zake, isijekuwa ni sehemu jobless akajikuta ameshikiliwa aache akiba zake zote mpaka nauli, matokeo yake usaili afeli na nyumbani ashindwe kurudi.
 
Hahaha, sipati picha kama Kunguru ataweza kujizuia dhidi ya wafungwa. Naamini huko huko kizuizini kuna wadada wazuri sana walioteleza uraiani wakatupiwa huko.
Hawakosekanagi mkuu, kila sehemu kuna kila aina ya watu.

Si unaona Lulu aliwahi kuwa huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo kijana wetu wa hovyo(kunguru) anaenda kula kimasihara au sio?hahhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawakosekanagi mkuu, kila sehemu kuna kila aina ya watu.

Si unaona Lulu aliwahi kuwa huko.

Hili ni kweli kabisa Mkuu, tena hawa wanaokuwa wafungwa wanakuwa desperate sana kiasi cha kutaka favor ndogo ndogo, hapo ndipo kazi inapoanzia.
 
Na wanasiasa kama jambo haligusi masilahi yao ya moja kwa moja hawaliongelei, sio wa CCM wala wa vyama vya upinzani. Wao changamoto zilizopo Utumishi wanajidai hawazioni kabisa mpaka wapate Rais anayefunga mirija yao ya asali ndipo kila siku wataita waandishi wa habari.

Utasikia, “ndugu waandishi wa habari ....
 
😂😂😂😂
 
Wakuu, kwa namna NAOT imeifanya Dodoma ijae inabidi tuutembelee huu uzi kwa wingi.

Hata hivyo kwa ambao bado wana machimbo mengine, tafadhali tuendelee kujulishana.
Mkuu possible za NAOT ni zipi , auditor II
 
Back
Top Bottom