Hahahaha naisi usiku wali lala kidogo kupunguza uchovu ......Waliyakuta yamo au walikesha bure?[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha naisi usiku wali lala kidogo kupunguza uchovu ......Waliyakuta yamo au walikesha bure?[emoji3][emoji3]
yaan unatafta lodge ya 20k dah si bora ukalale machakani tuNaombeni namba za loji za dom, karibu na chuo kwenye usaili ambazo price yake Sawa au pungufu na elfu 20,
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Daaah budget constraintyaan unatafta lodge ya 20k dah si bora ukalale machakani tu
Hiyo 20 kubwa sana zipo za 15 mpaka 10 ni nzuri tu sema majina sasa ndo nshasahau zipo makulu pale au CBE Kuna moja inaitwa manyara lodge ni self ,ina tv bei ni 15
Ipo ya 25K mjini barabara ya 10.yaan unatafta lodge ya 20k dah si bora ukalale machakani tu
Ipo CBE, hiyo Manyara?Hiyo 20 kubwa sana zipo za 15 mpaka 10 ni nzuri tu sema majina sasa ndo nshasahau zipo makulu pale au CBE Kuna moja inaitwa manyara lodge ni self ,ina tv bei ni 15
Ndio CBE pale upande wa chini wa chuo ipo karibu pale ingekuwa mwenyeji sana ungeenda makulu pale ndo karibu zaidiIpo CBE, hiyo Manyara?
Niipe number zao maana nyomi ya watu WA heslb ninawasiwasiHiyo 20 kubwa sana zipo za 15 mpaka 10 ni nzuri tu sema majina sasa ndo nshasahau zipo makulu pale au CBE Kuna moja inaitwa manyara lodge ni self ,ina tv bei ni 15
Niipe number zao maana nyomi ya watu WA heslb ninawasiwasi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Itakuwa, ila ali organise vizuri sn.Ilipunguza gharamaLabda ilikuwaga kwa trip ile tu mkuu
Sawa mkuu, mimi kuna guest fulani kule karibu na Msikiti wa Gaddafi, self ni 12k huwa naegesha huko.Ndio CBE pale upande wa chini wa chuo ipo karibu pale ingekuwa mwenyeji sana ungeenda makulu pale ndo karibu zaidi
Poa poa kiongoziSawa mkuu, mimi kuna guest fulani kule karibu na Msikiti wa Gaddafi, self ni 12k huwa naegesha huko.
Ngoja kesho nione upepo utakuwaje naweza kuitafuta hiyo ya CBE
Halishindikani jambo, siku ya kufika UDOM utashuhudia nyomi la uhakikaIla lakini vijana wa kitanzania tunataabika sn na huu utaratibu wa PSRS. Interview zifanywe kikanda.Nawahurumia vijana wenzangu ambao hawana ndugu Dodoma. Binafsi nina wadau kama watatu hivi,so nitachagua naenda kwa nani?
Poleni wakuu,but keep on fighting.
Kuna kipindi jamaa zangu walipiga kambi (kulala) pale pale UDOM kuamkia siku ya usahili wa written na wengine hadi oral siku ya tatu
Kuna paper Moja iv la TRA niliona watu wamekuja kujisomea mchana pale CBE nasikia walitoboa adi asubuh pale madarasan then alfajir wakaenda tu pale sabasaba wakapanda daladala wakaenda kwenye usail[emoji28] naiv pale ni karib na 77
Dogo atakuwa kashakandwa huyo, tuombe asivurugwe na kusahau hizo chimbo za lodge[emoji3][emoji3][emoji3]Haya wakuu naamini mlivyoenda DOM mumelala kwenye lodge na guest houses, hebu tupeni majina, location na namba za simu.
Na mimi nitaongea na dogo anipe details za maeneo aliyofikia ili nizimwage humu zisaidie wengine.