Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

yaan unatafta lodge ya 20k dah si bora ukalale machakani tu
Ipo ya 25K mjini barabara ya 10.

Ina maji ya moto, TV, simu ya mezani, Chai(asubuhi). Dom ni baridi ila ukiwa mule ndani ni shwari kama upo kwenye AC huko jijini Dar penye joto kali.
 
Hiyo 20 kubwa sana zipo za 15 mpaka 10 ni nzuri tu sema majina sasa ndo nshasahau zipo makulu pale au CBE Kuna moja inaitwa manyara lodge ni self ,ina tv bei ni 15
Ipo CBE, hiyo Manyara?
 
Ila lakini vijana wa kitanzania tunataabika sn na huu utaratibu wa PSRS. Interview zifanywe kikanda.Nawahurumia vijana wenzangu ambao hawana ndugu Dodoma. Binafsi nina wadau kama watatu hivi,so nitachagua naenda kwa nani?

Poleni wakuu,but keep on fighting.
 
Ndio CBE pale upande wa chini wa chuo ipo karibu pale ingekuwa mwenyeji sana ungeenda makulu pale ndo karibu zaidi
Sawa mkuu, mimi kuna guest fulani kule karibu na Msikiti wa Gaddafi, self ni 12k huwa naegesha huko.

Ngoja kesho nione upepo utakuwaje naweza kuitafuta hiyo ya CBE
 
Ila lakini vijana wa kitanzania tunataabika sn na huu utaratibu wa PSRS. Interview zifanywe kikanda.Nawahurumia vijana wenzangu ambao hawana ndugu Dodoma. Binafsi nina wadau kama watatu hivi,so nitachagua naenda kwa nani?

Poleni wakuu,but keep on fighting.
Halishindikani jambo, siku ya kufika UDOM utashuhudia nyomi la uhakika
 
Kuna kipindi jamaa zangu walipiga kambi (kulala) pale pale UDOM kuamkia siku ya usahili wa written na wengine hadi oral siku ya tatu

Hili nalo ni wazo zuri Mkuu, hasa vyuo madarasa au hostels zikiwa wazi au mtu akiwa na connection na wanaosoma.
 
Kuna paper Moja iv la TRA niliona watu wamekuja kujisomea mchana pale CBE nasikia walitoboa adi asubuh pale madarasan then alfajir wakaenda tu pale sabasaba wakapanda daladala wakaenda kwenye usail[emoji28] naiv pale ni karib na 77

Hahaha, duh! Ila huwa naamini sana kwamba kupumzika nako ni maandalizi mazuri ya mtihani. Kama mtu anajimudu nashauri atafute hata nyumba ya wageni ya bei nafuu, kuliko kukesha.

Kutopumzika vizuri kunaweza kupelekea mtu kufeli huku amesoma vya kutosha.
 
Haya wakuu naamini mlivyoenda DOM mumelala kwenye lodge na guest houses, hebu tupeni majina, location na namba za simu.

Na mimi nitaongea na dogo anipe details za maeneo aliyofikia ili nizimwage humu zisaidie wengine.
 
Dogo atakuwa kashakandwa huyo, tuombe asivurugwe na kusahau hizo chimbo za lodge[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom