๐๐๐๐๐Umefanya nicheke sana Kwamba utumishi hawaishiwi mbinu zakumshangaza jobless hahhhhHahaha, huu ni wapili Mkuu, ila wakwanza ulimjia vizuri na akawa na matumaini makubwa mpaka matokeo yalivyotoka ndipo akagundua utumishi hawaishiwi mbinu za kumshangaza jobless.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha, huu ni wapili Mkuu, ila wakwanza ulimjia vizuri na akawa na matumaini makubwa mpaka matokeo yalivyotoka ndipo akagundua utumishi hawaishiwi mbinu za kumshangaza jobless.
๐๐๐๐Utumishi wanakuaga na matokeo Fulani hivi yakushangaza sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapo lkn me sijaelewa wanakushangazaje yani kwenye matokeo wakati unajijua kabisa ulijibu vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utumishi wanakuaga na matokeo Fulani hivi yakushangaza sana
Chakwanza kabisa kunakuwaga na ile kukuelewa swali vibaya Yani sio gumu lakini umeinterprate vibayaHapo lkn me sijaelewa wanakushangazaje yani kwenye matokeo wakati unajijua kabisa ulijibu vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kuna kitu inaitwa "CUTTING POINT ONLY FEW UNDERSTAND IT"
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahahaa, akawa haamini macho yake. PSRS hawana undugu na joblessHahaha, huu ni wapili Mkuu, ila wakwanza ulimjia vizuri na akawa na matumaini makubwa mpaka matokeo yalivyotoka ndipo akagundua utumishi hawaishiwi mbinu za kumshangaza jobless.
Yeah hapo nimekusoma, na hii nimegundua it's very easy kutokea kwasababu muda muda muda! Ukimaliza tu kisoma swali unaambiwa dk 20 zimeisha hapo ushapagawa kuelewa swali mara stapler ubane karatasi mara pens down [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]Chakwanza kabisa kunakuwaga na ile kukuelewa swali vibaya Yani sio gumu lakini umeinterprate vibaya
Kwa mfano wanakwambia describe the features of mountain in geomorphic perspective
Sasa unaweza kusema labda hili swali linataka charactericts of mountain kumbe halitaki hivyo, then ikatoka umejiaminisha kuwa umejibu fresh sasa matokeo yakija ndo hapo yanakushangaza kwamba umeaibisha ukoo wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐๐Kuna msimamizi mmoja nilikuwa naandika speed balaa asa nilikuwaga mbele kabisa aliniangaliaaaa afu akashika kichwa ikabidi nitulie kwanza nikawaza au nimeenda Chaka nini ndo ananionea huruma mpka kashika kichwa hahhhhYeah hapo nimekusoma, na hii nimegundua it's very easy kutokea kwasababu muda muda muda! Ukimaliza tu kisoma swali unaambiwa dk 20 zimeisha hapo ushapagawa kuelewa swali mara stapler ubane karatasi mara pens down [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haloo!!! Sio poa hiyo dk zile huwa za moto hakuna anaesinzia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna msimamizi mmoja nilikuwa naandika speed balaa asa nilikuwaga mbele kabisa aliniangaliaaaa afu akashika kichwa ikabidi nitulie kwanza nikawaza au nimeenda Chaka nini ndo ananionea huruma mpka kashika kichwa hahhhh
๐๐๐๐Hapo ndo unajua kweli duniani ni mateso[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haloo!!! Sio poa hiyo dk zile huwa za moto hakuna anaesinzia
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu jamaa kama 10 hivi wako room 1 hapo ndo unagundua kumbe wananguvu kazi ya kutosha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndo unajua kweli duniani ni mateso
๐๐๐๐Pale hamnaga hata kugeuka aseeh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu jamaa kama 10 hivi wako room 1 hapo ndo unagundua kumbe wananguvu kazi ya kutosha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefanya nicheke sana Kwamba utumishi hawaishiwi mbinu zakumshangaza jobless hahhhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapo lkn me sijaelewa wanakushangazaje yani kwenye matokeo wakati unajijua kabisa ulijibu vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kuna kitu inaitwa "CUTTING POINT ONLY FEW UNDERSTAND IT"
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yeah hapo nimekusoma, na hii nimegundua it's very easy kutokea kwasababu muda muda muda! Ukimaliza tu kisoma swali unaambiwa dk 20 zimeisha hapo ushapagawa kuelewa swali mara stapler ubane karatasi mara pens down [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nimecheka kifala SanaMkuu, kwa kifupi utumishi ukifaulu ni kama umefeli na ukifeli ndio umefeli.
Wanaachaje kunishangaza Hawa jamaa [emoji3][emoji3][emoji3] kuna kitu inaitwa CUTTING POINT mtu ulikuwa hujawahi kupata 50 ile unapata 50 tu wanachukua kuanzia 51 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha, ndio Mkuu. Vipi upande wako, jamaa hawajawahi kukushangaza?