😂😂😂😂😂Umefanya nicheke sana Kwamba utumishi hawaishiwi mbinu zakumshangaza jobless hahhhhHahaha, huu ni wapili Mkuu, ila wakwanza ulimjia vizuri na akawa na matumaini makubwa mpaka matokeo yalivyotoka ndipo akagundua utumishi hawaishiwi mbinu za kumshangaza jobless.