Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Wakuu kama yeyote kati yetu hasa wiki hizi za karibuni ameexperience huduma bora zenye gharama nafuu alipofika kwenye Saili Dodoma, tusiache kuzitaja.
 
Nilitamani tutaje na sehemu zenye huduma mbovu ambazo tumekumbana nazo ili watu wasiingie chaka, ila nadhani itakuwa si vizuri kibiashara.
 
Nahisi kama siyo lodge ninayofikia mimi nikienda kwenye saili,,,Kitanda kidogo,,hamna feni,,,chandarua unafunga funga,,,hapo kwa wabishi tu buku saba hadi nane unalala fresh ila umeme upo nahisi ndiyo hapo,,,nahisi ndiyo hapo kama sijakosea

Hahaha! Duh! Lakini sio mbaya sana kwa kuwa tuko kwenye utafutaji.
 
Nimepata kwa buku 8 bt mboga 7 hii gesti wala haiwafai hii ni kwa ajili ya sisi tuliokopa nauli
Hahahaa, mimi huku nimekuja kwa influencer ya mdada mmoja tumetoka sehemu moja, nimeona nisimdissapoint nimekubali kwa singo upande.

Ningekuwa peke yangu ningetafuta isiyozidi 15k.

Hata hivyo hii ya 25k room ikopoa sana, self, maji ya moto na baridi, TV, simu ya mezani. Huku Dom ni baridi ila ndani ya haka karoom ni full joto, naona hii 25k haijaenda bure.
 
Wakuu kama yeyote kati yetu hasa wiki hizi za karibuni ameexperience huduma bora zenye gharama nafuu alipofika kwenye Saili Dodoma, tusiache kuzitaja.
Good Samaritan Lodge.

Ipo mjini karibu na General Hospital.

ni 25K, ina maji ya moto na baridi, room ina joto kwa ndani huwezi kuhisi baridi, TV, simu ya mezani, hygiene ipo poa sana.

Nimeielewa ila hii 25k kwa tunaojibana inatuuma kimtindo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh! Ikoje hiyo Mkuu? Choo kibovu, madirisha hakuna, usalama mdogo au shida yake ni ipi hasa?
Choo kipo kwenye kolido maji ya kuletwa na madumu kutoka bomba ambalo Lipo eneo la gesti pia madirisha yapo but kwa mujibu wa sensa ya makazi 2022 Jengo Hilo linahitaji ukarabati mkubwa.Mazingira ya nje eneo liko vizur tena kuna kanisa kubwa jiran wadau wanapitia kabla hawjaenda kupgwa KO na PSRS.
 
Kuna saili flani hivi nilienda ya takukuru balaaa ilijaaga hatariiiii

Hahaha, watu wanatafuta angalau pakujificha asubuhi pafike.

NB: Japo sio kwa umuhimu, Mkuu inaonekana una kitu cha wengi kujifunza ili wasikate tamaa hasa ambao ni mara ya kwanza kufanya maombi ya kazi Utumishi.

Kumbe inawezekana wakaenda Dodoma zaidi ya mara moja na bado isiwe sababu ya kupata kazi, ikawahitaji waendelee kwenda mara nyingine nyingi bila kukata tamaa?
 
Choo kipo kwenye kolido maji ya kuletwa na madumu kutoka bomba ambalo Lipo eneo la gesti pia madirisha yapo but kwa mujibu wa sensa ya makazi 2022 Jengo Hilo linahitaji ukarabati mkubwa.Mazingira ya nje eneo liko vizur tena kuna kanisa kubwa jiran wadau wanapitia kabla hawjaenda kupgwa KO na PSRS.

Duh! Asante sana Mkuu.
 
Good Samaritan Lodge.

Ipo mjini karibu na General Hospital.

ni 25K, ina maji ya moto na baridi, room ina joto kwa ndani huwezi kuhisi baridi, TV, simu ya mezani, hygiene ipo poa sana.

Nimeielewa ila hii 25k kwa tunaojibana inatuuma kimtindo[emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaha, kwenye gharama kweli ni hatari kwa watafutaji. Ila kwa hizo huduma zinaridhisha sana, hata pesa yako inakwenda kihalali.

Asante sana kwa mrejesho Mkuu. Naamini wanaomudu watafika hapo.
 
Hahahaa, mimi huku nimekuja kwa influencer ya mdada mmoja tumetoka sehemu moja, nimeona nisimdissapoint nimekubali kwa singo upande.

Ningekuwa peke yangu ningetafuta isiyozidi 15k.

Hata hivyo hii ya 25k room ikopoa sana, self, maji ya moto na baridi, TV, simu ya mezani. Huku Dom ni baridi ila ndani ya haka karoom ni full joto, naona hii 25k haijaenda bure.
sasa kwanini msishee room moja kupunguza garama
 
Hahaha, watu wanatafuta angalau pakujificha asubuhi pafike.

NB: Japo sio kwa umuhimu, Mkuu inaonekana una kitu cha wengi kujifunza ili wasikate tamaa hasa ambao ni mara ya kwanza kufanya maombi ya kazi Utumishi.

Kumbe inawezekana wakaenda Dodoma zaidi ya mara moja na bado isiwe sababu ya kupata kazi, ikawahitaji waendelee kwenda mara nyingine nyingi bila kukata tamaa?
Mimi kitu kukata tamaa ndiyo siwezi always naamini ipo siku mungu atafungua mlango niliostahiki
 
Back
Top Bottom