Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi kama siyo lodge ninayofikia mimi nikienda kwenye saili,,,Kitanda kidogo,,hamna feni,,,chandarua unafunga funga,,,hapo kwa wabishi tu buku saba hadi nane unalala fresh ila umeme upo nahisi ndiyo hapo,,,nahisi ndiyo hapo kama sijakosea
Martinr jnr luther king , dogo vip mzima ??nenda uzi wa mpwayungu village sehemu za kulala kama pesa huna
Kuna saili flani hivi nilienda ya takukuru balaaa ilijaaga hatariiiiiHahaha! Duh! Lakini sio mbaya sana kwa kuwa tuko kwenye utafutaji.
Hahahaa, mimi huku nimekuja kwa influencer ya mdada mmoja tumetoka sehemu moja, nimeona nisimdissapoint nimekubali kwa singo upande.Nimepata kwa buku 8 bt mboga 7 hii gesti wala haiwafai hii ni kwa ajili ya sisi tuliokopa nauli
Good Samaritan Lodge.Wakuu kama yeyote kati yetu hasa wiki hizi za karibuni ameexperience huduma bora zenye gharama nafuu alipofika kwenye Saili Dodoma, tusiache kuzitaja.
Choo kipo kwenye kolido maji ya kuletwa na madumu kutoka bomba ambalo Lipo eneo la gesti pia madirisha yapo but kwa mujibu wa sensa ya makazi 2022 Jengo Hilo linahitaji ukarabati mkubwa.Mazingira ya nje eneo liko vizur tena kuna kanisa kubwa jiran wadau wanapitia kabla hawjaenda kupgwa KO na PSRS.Duh! Ikoje hiyo Mkuu? Choo kibovu, madirisha hakuna, usalama mdogo au shida yake ni ipi hasa?
Kuna saili flani hivi nilienda ya takukuru balaaa ilijaaga hatariiiii
Choo kipo kwenye kolido maji ya kuletwa na madumu kutoka bomba ambalo Lipo eneo la gesti pia madirisha yapo but kwa mujibu wa sensa ya makazi 2022 Jengo Hilo linahitaji ukarabati mkubwa.Mazingira ya nje eneo liko vizur tena kuna kanisa kubwa jiran wadau wanapitia kabla hawjaenda kupgwa KO na PSRS.
Good Samaritan Lodge.
Ipo mjini karibu na General Hospital.
ni 25K, ina maji ya moto na baridi, room ina joto kwa ndani huwezi kuhisi baridi, TV, simu ya mezani, hygiene ipo poa sana.
Nimeielewa ila hii 25k kwa tunaojibana inatuuma kimtindo[emoji3][emoji3][emoji3]
sasa kwanini msishee room moja kupunguza garamaHahahaa, mimi huku nimekuja kwa influencer ya mdada mmoja tumetoka sehemu moja, nimeona nisimdissapoint nimekubali kwa singo upande.
Ningekuwa peke yangu ningetafuta isiyozidi 15k.
Hata hivyo hii ya 25k room ikopoa sana, self, maji ya moto na baridi, TV, simu ya mezani. Huku Dom ni baridi ila ndani ya haka karoom ni full joto, naona hii 25k haijaenda bure.
Mimi kitu kukata tamaa ndiyo siwezi always naamini ipo siku mungu atafungua mlango niliostahikiHahaha, watu wanatafuta angalau pakujificha asubuhi pafike.
NB: Japo sio kwa umuhimu, Mkuu inaonekana una kitu cha wengi kujifunza ili wasikate tamaa hasa ambao ni mara ya kwanza kufanya maombi ya kazi Utumishi.
Kumbe inawezekana wakaenda Dodoma zaidi ya mara moja na bado isiwe sababu ya kupata kazi, ikawahitaji waendelee kwenda mara nyingine nyingi bila kukata tamaa?
Oyah makofia360 weka updates za saili za Leo si umemenyeka Leo mkuu😁😁Mimi kitu kukata tamaa ndiyo siwezi always naamini ipo siku mungu atafungua mlango niliostahiki
😂😂😂😂Pole Boss... Paper ilikuwa nondo eeehUtumishi watakuja kutuua hawa daaah😂😂😂😂😂😂nimetoka kukandwa na geophysicist ii pura
Mimi sijamenyeka leo mzee nasubiri pdf ya shortlist 3 na placement mojaOyah makofia360 weka updates za saili za Leo si umemenyeka Leo mkuu😁😁
Acha kabisa mpaka unajiuliza hawa wanataka waniue au vipi😂😂😂😂😂😂😂😂Pole Boss... Paper ilikuwa nondo eeeh
😂😂😂 Nafasi ni ngapi mzee mnazowaniaUtumishi watakuja kutuua hawa daaah😂😂😂😂😂😂nimetoka kukandwa na geophysicist ii pura