Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Ni kwel maana kuna mwamba nilimkuta stend pale anasema baada ya kumaliza usaili akawa hapo stend kwa siku mbili anasubili wadau home wamtumie pesa adandie ndinga

Aisee, huyo jamaa itakuwa alipitia kipindi kigumu sana, maana kukwama sehemu kwa siku mbili si mchezo, na ukute pamoja na yote Utumishi bado wamemkanda hivyo hivyo.
 
Hahaha, dah Mkuu huu msemo wa kukandwa huwa unanichekesha sana. Kama vile ni mazuri, kumbe mengine yanaumiza.
Hahahahaa, yaani ile kukandwa ili upoe na kukaa kwa kutulia na uache kuwasumbua utumishi
 
Hahahahaa, yaani ile kukandwa ili upoe na kukaa kwa kutulia na uache kuwasumbua utumishi

Hahaha, ili tuache kulalamika Utumishi wanaupendeleo, wameamua kutunga mitihani migumu, ukishindwa kupita unajikuta huna ujasiri wa kusema umeonewa.

Japo inawezekana pia ndio mbinu rahisi ya kuwapitisha wanaotaka.
 
Treni apande tu wakati kurudi akishakandwa maana atakuwa hana stress za kuchelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duuuh kwamba nowadays mkando tu Duuuh. Hawa jamaa huwa maswali yao yanabase haswa wapi na kwa wale WA written Yale maswali huwa unaandika tu point, essay, briefly, au ujibuje ili utoboe written kwa muda WA dakika zao umalize. Majibu wadau nawasilisha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Unapoeleza kuwa briefy point ionekane na maelezo kidogo ivo yani
 
Back
Top Bottom