Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Kabisa wanasemaga kipato huleta majivuno

Jamaa wanachukulia poa, watu wako mtaani miaka nenda rudi, matangazo ya ajira huwa ni faraja, shida iko kwenye mchakato unavyoendeshwa na kuchukua muda sana.
 
Daaah wanachukua mda sana kuita watu kazini jamani

Ni kweli kabisa Mkuu, hata hivyo hongera kwako angalau unasubiri matangazo ya kuitwa kazini. Wengi wanatamani hata kuitwa kwenye saili za kuandika.
 
Mwezi unakatika, sahili kwa mwezi huu zinaenda kutamatika.

Uzi umepoa

Aisee Mkuu kuna muda huwa nawaza ingewezekana wangekadiria muda ambao ratiba hazitaweza kuingiliana sana. Angalau watoe majina ya shortlist na kupanga kabisa tarehe za usaili ili watu wabaki wakijua ni tarehe fulani.

Hata kama ni mwezi unaokuja au zaidi. Hii itarahisisha watu kutokukaa roho juu, na wabaki wanafanya maandalizi na mambo yao mengine wakiisubiri tarehe husika.

Endapo wana wasiwasi juu ya uwezekano wa ratiba kubadilika, waseme mapema kwamba ratiba hii inaweza kubadilika endapo ikibidi.
 
Jamaa wanachukulia poa, watu wako mtaani miaka nenda rudi, matangazo ya ajira huwa ni faraja, shida iko kwenye mchakato unavyoendeshwa na kuchukua muda sana.
Kwa ninavyoelewa hali yakukosa kazi aseeh siwezi kumdhalau asiye na kitu ujobless unaumiza sana moyo
 
Mkuu, hili ni kweli kabisa. Kuna jamaa alinisimulia kipindi hakuwa na kazi ilibidi awe anatoka anakwenda kuzunguka kupata chochote kitu ila mpaka jioni anarudi bila bila.

Sasa kilichokuwa kinamuuma ni nyumba aliyopanga ilikuwa na wanawake watu wa makamo watupu, akirudi jioni huwa wanamwambia kwa heshima zote, “Baba pole kwa kazi, ndio uanaume huo”.

Jamaa moyoni anaumia kwamba hakuna kazi yoyote anayopata kila anapotoka ila wamama wameweka imani kubwa kwake kwamba anafanya kazi sehemu fulani.
 
daaaah hii life sio fair jobless halafu unaambiwa pole kwa kazi hahhhh😂😂😂😂😂
 
Aisee Mkuu kuna muda huwa nawaza ingewezekana wangekadiria muda ambao ratiba hazitaweza kuingiliana sana. Angalau watoe majina ya shortlist na kupanga kabisa tarehe za usaili ili watu wabaki wakijua ni tarehe fulani.

Hata kama ni mwezi unaokuja au zaidi. Hii itarahisisha watu kutokukaa roho juu, na wabaki wanafanya maandalizi na mambo yao mengine wakiisubiri tarehe husika.

Endapo wana wasiwasi juu ya uwezekano wa ratiba kubadilika, waseme mapema kwamba ratiba hii inaweza kubadilika endapo ikibidi.
umenena vyema,wengine vichwa vyetu vigumu kusoma jaman hadi tujue siku ya enterview ndo tunaanza kusoma
 
daaaah hii life sio fair jobless halafu unaambiwa pole kwa kazi hahhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, kabisa Mkuu unaweza kutamani uwaambie jamani msinione smart sina kazi, lakini unaacha wakupe heshima ya uongo mpaka utakapopata kazi.
 
umenena vyema,wengine vichwa vyetu vigumu kusoma jaman hadi tujue siku ya enterview ndo tunaanza kusoma

Kabisa Mkuu, kwanza inakatisha hata tamaa ya kujiandaa. Hebu fikiria nafasi zilizotoka tangu mwezi wa nne, mtu atakuwa amesoma mpaka amesema inatosha, nafasi hazitoki.

Ni bora hata wangetangaza kwamba watu wataitwa December kwa hiyo tangu mwezi wa nne watu wasingekuwa na haja ya kuhoji na wangepanga vizuri ratiba za kusoma na bajeti.
 
Wazo zuri sana, Wakizitoa short lists nyingi(zote) halafu wapange ratiba na watu waijue hata kama ni miezi kadhaa mbele.

Ibaki tu mipishano ya kwenda Dom, wakitoka hawa wanaingia wale.

Baada ya hapo watangaze pia kuwa majibu(placemnets) zitatoka mwezi fulani ili pasiwepo na sintofahamu ya lini placements kutoka kama ilivyo sasa
 
Yani hili ni kweli kabisa. Hawajui namna wanaotafuta ajira wanabaki roho juu kusubiri updates zisizo na uhakika lini zitatoka.
 
Back
Top Bottom