Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku Bado nyingi mpaka tr7 Bora walivyorudi kwao kwanzaNaona mmeikimbia Dodoma wote wakuu.
Dogo atakuwa kashakandwa huyo, tuombe asivurugwe na kusahau hizo chimbo za lodge[emoji3][emoji3][emoji3]
NAOT ilikua ngumu,ila HESLB kidogo walilegeza tukapata vya kujibu.Hahaha, Mkuu vipi mtihani ulikujaje kwa upande wako?
Kuanzia tarehe 5, wataanza kuturika kwa mkando wa mahojianoNaona mmeikimbia Dodoma wote wakuu.
Majengo ipo sehemu gani?Jina: Melisa lodge
Eneo: Majengo
Mawasiliano: 0762 682 121
Gharama: Vyumba vyote bei ni Tzs 15,000/=
Kwa taarifa niliyopewa, pako vizuri sana, eneo halina kelele, pasafi, usalama upo na wahudumu ni wakarimu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha! Aisee amefanya mtihani wa NAOT alipotoka nikamuuliza atabaki kusubiri matokeo ili aingie Oral au atarudi, akanijibu kwa mtihani ulivyokuja ni bora aokoe pesa kwa kuwahi kurudi nyumbani mapema, eti hana muujiza wa kuusubiri.
Majengo ni kule soko kuu lilipo.Majengo ipo sehemu gani?
Namimi sina wenyeji sana na Dodoma ila haiko mbali sana na stendi ya sabasaba. Hiyo (Majengo sokoni) ndiyo mitaa ya kina msanii Monicentral zone.
Ahaaa, nimekupata mkuuMajengo ni kule soko kuu lilipo.
Amna dodoma nimezurula sana napajua kote yaniOhooh, sawa Professor. Kumbe unapajua? Au uliwahi kufikia hapo nini?
Hivi ule mpango wa kufanya usaili angalau kwa kila mkoa , au kila kanda umeishia wapi, au ndio mambo ya Bajeti kutokutekelezwa.
Nchi ya hovyo sana hii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kupiga pepa ya PSRS?