Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Wewe acha uongo. Watu wapo wengi tu.
 
kuwa makin mkuu watu wana hasira usije vunjiwa simu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]
 
Ujaenda kwenye show dodoma
 
nadhani watu wamechoka tu na siasa za maji taka. siasa ambazo zinawajaza matumbo tu wanasiasa yanakua makubwa tu na kuongeza ulafi zaidi, watu wameamua kufanya mambo yao na kuangalia familia zao zaidi na mishe zao wapate pesa na maisha yaende vyema
 
Baada ya sisi kumnanga kugoma kutokea Kawe Lisu kukurupuka na mkewe mbio kujajs mkutanoni kuficha aibu mkutano unafungwa saa 12 yeye ndie katokea mida hii
Mkuu msafara ulianzia Goba saa tano asubuhi kupitia mbezi barabara ya morogoro.hivyo usidanganye umma kuwa amechelewa
 
Kawe si ndiko kwa Gwajima? Si wangemuomba awasaidie angalao kidogo? Angalao kwa sala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…