Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu.
JamiiForums-850589447.jpg
 
Dodoma tunaingia "wanyonge" kuona wasanii. Twajua mawili yanatukabili;
1. Kurudi kwa miguu nyumbani kwani baadae hakuna cha Lori na hilo la kutoswa tumelizoea.
2. Kura yetu haiwezi kununuliwa na wakata viuno jukwaani kwa siku moja. Sherehe hazita tuletea maisha bora na watoto wetu.
IMG_20200829_101830.jpg
IMG_20200829_085829.jpg
 
Ila niseme ukweli wakati mwingine Chadema hamko serious! Huko kwenye social networks (twitter, Facebook na Instagram) viongozi na wanachama wa chadema hawatangazi huu mkutano wenu kabisa. Hata mgombea ubunge Kawe amemposti Lucy Ndesamburo badala ya hili tukio muhimu. Sasa kama watu huko mtandaoni hawajui kuna mkutano wenu muhimu hapo Tanganyika pakers si mtafunikwa na kinachoendelea uwanja wa Jamhuri Idodomya?
 
Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa

CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.

Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?

CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.

Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Hivi una akili kweli ,unasema Chadema haikuhamasisha watu,hawaruhusiwi kutangaza kwenye radio na tv wanatumia tu mitandao na wamejaza nyomi halafu unawalaumu ,kuonyeshwa kwenye hiyo tv yenu uchwara baada ya kuacha waongee mnachambua kama documentary.

Nye CCM mmetangaza uzinduzi karibia tv na redio zote na wanamziki kama 200 sasa hivi singeli inaendelea na hamna nyomi ,hamtambui mmeshachokwa
 
Kitaalam kabisa ningekuwa kocha wa vyama vya upinzani safu yangu ningeipanga hivi;

- Lisu angeenda CHAUMA nafasi ya umakamu wa rais chini ya Hashim Rungwe Spunda.

- Mbowe ningempeleka CUF makamu wa rais chini ya prof. Lupumba.

- Zito ningemuacha ACT nafasi ya urais na makamu wake Sharif Hamadi.

- Membe ningempeleka NCCR-MAGEUZI nafasi ya uraisi makamu wake James Mbatia.

- CCM ingebaki kama ilivyo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Radio zote na tv zinaogopa kupigwa faini na kufungiwa
Kwa Nini walishindwa media coverage?

Chadema mngewalipa ITV Cash. Ili warushe matangazo

Promotion ilikuwa hafifu, pa system isiwe moja.

Mlishindwa kuita wasanii na kuwalipa?
 
Ila niseme ukweli wakati mwingine Chadema hamko serious! Huko kwenye social networks (twitter, Facebook na Instagram) viongozi na wanachama wa chadema hawatangazi huu mkutano wenu kabisa. Hata mgombea ubunge Kawe amemposti Lucy Ndesamburo badala ya hili tukio muhimu. Sasa kama watu huko mtandaoni hawajui kuna mkutano wenu muhimu hapo Tanganyika pakers si mtafunikwa na kinachoendelea uwanja wa Jamhuri Idodomya?
ndio maana tuko JF mkuu
 
Uzeni sera zenu na vipaumbele vyenu kama kweli mpo serious..
Kulalamika hakusaidii

Jifunzeni basi hata kwa ACT Wana vipaumbele vizuri
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi...
 
Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
Hapana hilo jua ni la saa tano tano hivi asubuhi maana kivuli cha jioni kinakua upande wa mashariki.
 
Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitaalamu tunasema.. "Aerial or high oblique photograph show many details compared to any other type of photograph"

So inatakiwa picha za mikutano yeyote ya kampeni inayotumwa humu iwe imepigwa at high oblique tu ili tujue vizuri mbivu na mbichi.
 
Nashauri mambo yasichanganywe sana, kama ni kuandamana iwe kuandamana, kama kuchanga iwe kuchanga, kumbuka bado kunahitajika watu kujaa kwenye mikutano.

Kuandamana, kuchanga halafu bado ukawepo kwenye mikutano ya kufungua kampeni na jua hili huo uzalendo kwa chama ni mapema mno kuwafanya raia wawe nao kwa kiwango hicho. Wanaweza kuchoka.
 
Ila niseme ukweli wakati mwingine Chadema hamko serious! Huko kwenye social networks (twitter, Facebook na Instagram) viongozi na wanachama wa chadema hawatangazi huu mkutano wenu kabisa. Hata mgombea ubunge Kawe amemposti Lucy Ndesamburo badala ya hili tukio muhimu. Sasa kama watu huko mtandaoni hawajui kuna mkutano wenu muhimu hapo Tanganyika pakers si mtafunikwa na kinachoendelea uwanja wa Jamhuri Idodomya?
Aibu ya Jana ndo imewafanya waogope hata kupost.
 
Dodoma tunaingia "wanyonge" kuona wasanii. Twajua mawili yanatukabili;
1. Kurudi kwa miguu nyumbani kwani baadae hakuna cha Lori na hilo la kutoswa tumelizoea.
2. Kura yetu haiwezi kununuliwa na wakata viuno jukwaani kwa siku moja. Sherehe hazita tuletea maisha bora na watoto wetu.View attachment 1551687View attachment 1551688
Hizi picha mbona mnaficha plate namba za magari? Achen Waz tuhakiki hizi picha Ni za lini vinginevyo mnafanya usanii tu CDM [emoji3]
 
Back
Top Bottom