Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Hizi picha mbona mnaficha plate namba za magari? Achen Waz tuhakiki hizi picha Ni za lini vinginevyo mnafanya usanii tu CDM [emoji3]
Hivi plate namba inaweza kukuonyesha kuwa hii picha ya Leo?
 
Hapana hilo jua ni la saa tano tano hivi asubuhi maana kivuli cha jioni kinakua upande wa mashariki.
Hahahaaa..hukuangalia TBC nadhani, walianza kurusha mida ya kumi na moja kasoro na hizo picha ni muda ule Mbowe anatoa povu kwa TBC kwamba wamekata hivyo waondoke, muda mfupi tu kabla Lissu hajaanza kuongea, hali ni tete.
 
Dodoma tunaingia "wanyonge" kuona wasanii. Twajua mawili yanatukabili;
1. Kurudi kwa miguu nyumbani kwani baadae hakuna cha Lori na hilo la kutoswa tumelizoea.
2. Kura yetu haiwezi kununuliwa na wakata viuno jukwaani kwa siku moja. Sherehe hazita tuletea maisha bora na watoto wetu.View attachment 1551687View attachment 1551688
HUU NI UPUMBAVU KABISA
 
TBC hawatak kumsikia huyu Mwamba
IMG-20200829-WA0012.jpg
 
Hahaha...bahati mbaya sana hayupo, labda kama wewe umejipa ubaba wangu, ruksa ni haki yako ya kikatiba baba.
Baba yako yupo ila amesema tusikutaarifu wewe mtoto wake unaweza ukamdhuru,maana anajua kazi yako
 
Back
Top Bottom