Wameleta wenyeweeeee,hakuna namba ya voda iliotolewaDodoma wamepokea michango yamafuta ya kampeni toka kwa wamachinga na wauza ndizi, kwa mujibu wa bashiru karibu mkuu ccm
Nyamaza simbirisi wewe!Wameleta wenyeweeeee,hakuna namba ya voda iliotolewa
Yaani chadema hamna tofauti na yanga,huwezi kwenda ikulu kwa pesa ya Tigo pesa,kumbuka mna siku 60 za kukanyaga ardhi yote ya Tanzania
Halafu ndio tuwape nchi nyie?Nyamaza simbirisi wewe!
Ha ha haaaaHalafu ndio tuwape nchi nyie?
Una ushahidi!?Una uhakika wa unachoongea, wanayo mbinu yao ya kupita kwenye vijiwe vya wavuta ile kitu cha Arusha. Si ajabu wamegawa magunia ya hiyo kitu.
Inawezekana kabisa jaribu tu kushughulisha ubongo wakoHivi plate namba inaweza kukuonyesha kuwa hii picha ya Leo?
Wewe mwenyewe bila madini ya chuma kwenye damu unavutaRais anayetembea na risasi matakoni.
Weka picha tuamini
Ha ha haaaa
Uwe unaelewa bwashee!CHADEMA wameshindana na vyombo gani vya habari? Acha uzushi.
TBC ni sio chombo cha habari ni wakala wa chama cha mapinduzi.
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amejibu tamko la uongozi wa TBC na kuwaambia Chadema haiogopi polisi kwa sababu polisi ni sehemu ya maisha yao.
Mbowe amesema kama TBC wataacha upendeleo na kuomba radhi wananchi basi watawakaribisha tena kwenye mikutano yao.
Source ITV habari!
My take; Chadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio manini hayo?Tembelea vijiwe vya jimboni, jifunze kujichanganya na watu wa kitaa. Utasikia habari hata za mlima uluguru.
Hata kama tunakichukia chama fulani kwa sababu tu wewe ni mshabiki wa chama fulani Ubinaadamu na Uungwana ni kitu muhimu sana na ni vema tukatambua kuwa mara nyingi 1. MANENO UUMBA 2. KABLA UJAFA HAUJAUMBIKA 3. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI. sasa wewe unayeandika hivi kwa kujiona tu umzima bila kujua kuwa hicho unachojivunia ni Mungu aliyetaka uwe hivyo na hizo dhihaka unazozitoa kwa Lissu tambua kuwa Mungu pia ametaka Lissu awe hivyo. Hivi amjifunzi viongozi wangapi wa CCM walikuwa wazima wakati Lissu anapigwa Lisasi na wapo waliotoa kejeli kama wewe lakini leo hii wameishaoza ardhini? Jitafakari sana kwa hiki ulichokiandika.Rais anayetembea na risasi matakoni.