Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Dodoma wamepokea michango yamafuta ya kampeni toka kwa wamachinga na wauza ndizi, kwa mujibu wa bashiru karibu mkuu ccm
Wameleta wenyeweeeee,hakuna namba ya voda iliotolewa
Yaani chadema hamna tofauti na yanga,huwezi kwenda ikulu kwa pesa ya Tigo pesa,kumbuka mna siku 60 za kukanyaga ardhi yote ya Tanzania
 
Wameleta wenyeweeeee,hakuna namba ya voda iliotolewa
Yaani chadema hamna tofauti na yanga,huwezi kwenda ikulu kwa pesa ya Tigo pesa,kumbuka mna siku 60 za kukanyaga ardhi yote ya Tanzania
Nyamaza simbirisi wewe!
 
Jibu hilo hapo [emoji116]
FB_IMG_1598719257064.jpg
 
Rais anayetembea na risasi matakoni.
Wewe mwenyewe bila madini ya chuma kwenye damu unavuta
Kabla hujafa dogo iko siku kaajali kadogo tu hiyo paipu ya kukojolea inakatika hebu fikiria
 
Tanzania mpya kwa sisi wataka mabadiliko,twende na Lissu,ana uthubutu Mandela mpya
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amejibu tamko la uongozi wa TBC na kuwaambia Chadema haiogopi polisi kwa sababu polisi ni sehemu ya maisha yao.

Mbowe amesema kama TBC wataacha upendeleo na kuomba radhi wananchi basi watawakaribisha tena kwenye mikutano yao.

Source:
ITV habari!

My take: Chadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.

Maendeleo hayana vyama!
 
CHADEMA wameshindana na vyombo gani vya habari? Acha uzushi.
TBC ni sio chombo cha habari ni wakala wa chama cha mapinduzi.
 
Mh Lissu mambo uliyoyazungumzia Leo ni ya muhimu sana ambayo hakuna mtanzania yeyoye anaejielewa hatapenda kuyasikia:

Mikopo ya elimu ya juu
Bima ya afya
Mfumo kandamizi wa kodi
Kutopanda mishahara wafanyaka
Mfumo dhaifu wa Elimu

Bravo Lissu Leo umenikosha! Endelea kwa staili hii achana na mambo ya Mara jpm kafanya ivi Mara kafanya vile. Kiufupi achana na personal attacks.
Kama ikibidi kupeleka attacks basi iwe ni kwa mfumo mzima wa sasa

Tunataka kujua hapa tulipo tunatokaje na ni nini sera za cdm kama ulivoanza kuelezea Leo kwa weledi mkubwa kabisa. Popote utakapopita speech approach yako iwe kama ya Leo
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amejibu tamko la uongozi wa TBC na kuwaambia Chadema haiogopi polisi kwa sababu polisi ni sehemu ya maisha yao.

Mbowe amesema kama TBC wataacha upendeleo na kuomba radhi wananchi basi watawakaribisha tena kwenye mikutano yao.

Source ITV habari!

My take; Chadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.

Maendeleo hayana vyama!

Chombo cha Habari chenyewe ni tbc?
Tangu lini tbc ni marafiki wa upinzani?

Maneno ya dharau Akiongea pole pole ni sawa, ila Akiongea makene ni uchochezi
 
Rais anayetembea na risasi matakoni.
Hata kama tunakichukia chama fulani kwa sababu tu wewe ni mshabiki wa chama fulani Ubinaadamu na Uungwana ni kitu muhimu sana na ni vema tukatambua kuwa mara nyingi 1. MANENO UUMBA 2. KABLA UJAFA HAUJAUMBIKA 3. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI. sasa wewe unayeandika hivi kwa kujiona tu umzima bila kujua kuwa hicho unachojivunia ni Mungu aliyetaka uwe hivyo na hizo dhihaka unazozitoa kwa Lissu tambua kuwa Mungu pia ametaka Lissu awe hivyo. Hivi amjifunzi viongozi wangapi wa CCM walikuwa wazima wakati Lissu anapigwa Lisasi na wapo waliotoa kejeli kama wewe lakini leo hii wameishaoza ardhini? Jitafakari sana kwa hiki ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom