Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu.na hapa ni wapi ?View attachment 1551685
Mkuu malizia sentensi tukuelewe vizuri, twende nae Wapi Amsterdam au ubeligiji?Twende na Tundu lissu
Tumsubiri mwalimu Muda atasema.ungejua Nguvu iliyoko mitandaoni ungejidharau sana !
Hivi una akili kweli ,unasema Chadema haikuhamasisha watu,hawaruhusiwi kutangaza kwenye radio na tv wanatumia tu mitandao na wamejaza nyomi halafu unawalaumu ,kuonyeshwa kwenye hiyo tv yenu uchwara baada ya kuacha waongee mnachambua kama documentary.Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa
CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.
Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?
CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.
Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Kwa Nini walishindwa media coverage?
Chadema mngewalipa ITV Cash. Ili warushe matangazo
Promotion ilikuwa hafifu, pa system isiwe moja.
Mlishindwa kuita wasanii na kuwalipa?
Weka picha za leo mkuu.!Dodoma tunaingia "wanyonge" kuona wasanii. Twajua mawili yanatukabili;
1. Kurudi kwa miguu nyumbani kwani baadae hakuna cha Lori na hilo la kutoswa tumelizoea.
2. Kura yetu haiwezi kununuliwa na wakata viuno jukwaani kwa siku moja. Sherehe hazita tuletea maisha bora na watoto wetu.View attachment 1551687View attachment 1551688
ndio maana tuko JF mkuuIla niseme ukweli wakati mwingine Chadema hamko serious! Huko kwenye social networks (twitter, Facebook na Instagram) viongozi na wanachama wa chadema hawatangazi huu mkutano wenu kabisa. Hata mgombea ubunge Kawe amemposti Lucy Ndesamburo badala ya hili tukio muhimu. Sasa kama watu huko mtandaoni hawajui kuna mkutano wenu muhimu hapo Tanganyika pakers si mtafunikwa na kinachoendelea uwanja wa Jamhuri Idodomya?
Sana tuu, hao wanaopenda za kina Rostam za wizi na ufisadi wakija valishwa shanga wasianze kunung'unika eti aah mie sikuzoea au nini! Mbona Shaka wa Morogoro alizoea?Chama ni mali ya watu , kitawezeshwa na watu wenyewe
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi...
Hapana hilo jua ni la saa tano tano hivi asubuhi maana kivuli cha jioni kinakua upande wa mashariki.Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitaalamu tunasema.. "Aerial or high oblique photograph show many details compared to any other type of photograph"Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
Kwi Kwi KwiSana tuu, hao wanaopenda za kina Rostam za wizi na ufisadi wakija valishwa shanga wasianze kunung'unika eti aah mie sikuzoea au nini! Mbona Shaka wa Morogoro alizoea?
Aibu ya Jana ndo imewafanya waogope hata kupost.Ila niseme ukweli wakati mwingine Chadema hamko serious! Huko kwenye social networks (twitter, Facebook na Instagram) viongozi na wanachama wa chadema hawatangazi huu mkutano wenu kabisa. Hata mgombea ubunge Kawe amemposti Lucy Ndesamburo badala ya hili tukio muhimu. Sasa kama watu huko mtandaoni hawajui kuna mkutano wenu muhimu hapo Tanganyika pakers si mtafunikwa na kinachoendelea uwanja wa Jamhuri Idodomya?
Hizi picha mbona mnaficha plate namba za magari? Achen Waz tuhakiki hizi picha Ni za lini vinginevyo mnafanya usanii tu CDM [emoji3]Dodoma tunaingia "wanyonge" kuona wasanii. Twajua mawili yanatukabili;
1. Kurudi kwa miguu nyumbani kwani baadae hakuna cha Lori na hilo la kutoswa tumelizoea.
2. Kura yetu haiwezi kununuliwa na wakata viuno jukwaani kwa siku moja. Sherehe hazita tuletea maisha bora na watoto wetu.View attachment 1551687View attachment 1551688
Hizi ni za zamani kumbe?Weka picha za leo mkuu.!