Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Zile za wabunge Tsh 9 billion zilienda wapi?
Subpost 3 - Mh. Tundu Lissu Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania nd ( 640 X 640 ).jpg
 
Ila Chadema wanajitahidi! Licha ya kunyimwa fursa ya kurushwa kwa hewa shughuli zao kwenye radio na runinga ambayo inachangia kwa asilimia kubwa raia kupata habari zinazohusu sera zao, hamasa raia wahudhurie kwa wingi kwa jitihada yao wanajitahidi. Hata kama yakisemwa raia wanaohudhuria ni idadi ndogo lakini wanajitahidi. Ila wanapitia wakati mgumu sana!

Taarifa zao nazipata kupitia Jf ukigusa na twitter! Mbali na hapo mlango wa fursa wa kupata habari zao sina.
 
Huwezi kwenda ikulu kwa kumtegemea michango ya Tigo pesa
Mmeshindwa mapema sana
Dodoma wamepokea michango yamafuta ya kampeni toka kwa wamachinga na wauza ndizi, kwa mujibu wa bashiru karibu mkuu ccm
 
Back
Top Bottom