Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #381
Zile za wabunge Tsh 9 billion zilienda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile za wabunge Tsh 9 billion zilienda wapi?
Hahahahahha Lissu anaihitaji Mfumo mpya Wa KUTAWALA NCHI HII dah Sisi Tunahitaji KIONGOZI NA WALA SIO MTAWALA
Kiongozi hawezi KUROPOKA haya.
endelea kutunga uongo sisi tunasonga mbele
Ila Chadema wanajitahidi! Licha ya kunyimwa fursa ya kurushwa kwa hewa shughuli zao kwenye radio na runinga ambayo inachangia kwa asilimia kubwa raia kupata habari zinazohusu sera zao, hamasa raia wahudhurie kwa wingi kwa jitihada yao wanajitahidi. Hata kama yakisemwa raia wanaohudhuria ni idadi ndogo lakini wanajitahidi. Ila wanapitia wakati mgumu sana!
Taarifa zao nazipata kupitia Jf ukigusa na twitter! Mbali na hapo mlango wa fursa wa kupata habari zao sina.
wewe endelea kupiga uongo lakini tunakujulisha tu kwamba ndio kwanza tumeanza , utakoma safari hiiSiku hizi chadema wanaogopa pictures za aerials kama ukoma
Aerial pictures ndiyo kama zile wanazotumia CCM Mpya pale Jamhuri Stadium Dodoma?Zinapiga kura hizi picha?Siku hizi chadema wanaogopa pictures za aerials kama ukoma
Siku hizi chadema wanaogopa pictures za aerials kama ukoma
Hahaha.. Hatumaye makamanda mmekubali mafuriko hayasaidiiAerial pictures ndiyo kama zile wanazotumia CCM Mpya pale Jamhuri Stadium Dodoma?Zinapiga kura hizi picha?
Mkuu hayo yalikuwa maneno ya Kampeni tu."Vipi tunaanzia Wapi kuandamana kabla ya mkutano na Utakuwa Muda gani wa kuandamana" Alisikika Mhuni mmoja kutoka pale Mbagala.
Rais anayetembea na risasi matakoni.Raisi wa mitandaoni.
Mkuu vipi walioenguliwa wamerudishwa?Ungejua Nguvu iliyoko mitandaoni ungejidharau sana !
[emoji848]Rais anayetembea na risasi matakoni.
Huwezi kwenda ikulu kwa kumtegemea michango ya Tigo pesaChama ni mali ya watu , kitawezeshwa na watu wenyewe
Bali tunaenda ikulu kwa uporaji?Huwezi kwenda ikulu kwa kumtegemea michango ya Tigo pesa
Mmeshindwa mapema sana
Dodoma wamepokea michango yamafuta ya kampeni toka kwa wamachinga na wauza ndizi, kwa mujibu wa bashiru karibu mkuu ccmHuwezi kwenda ikulu kwa kumtegemea michango ya Tigo pesa
Mmeshindwa mapema sana