Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Screenshot_20220828-220456_Phoenix.jpg
 
Ila
Mikosi nuksi na mabalaa, sio kila bwana anakugharamikia kwa kheri, mwingine anakuja kuiba nyota yako.

Pia wengi kwa kupenda vya bure wameuawa, wamedhalilishwa, wamebakwa, wamepigwa picha za uchi na madhila mengi wamefanyiwa.

Mi nilipata mbaba mmoja ana mijipesa hake ya haja. Akawa ananihonga hadi milioni tano, kumbe ana lake jambo.

Kunitongoza hanitongozi ila anataka tukae wote hadi usiku mkubwa.

Siku moja akaniambia leo utalala kwangu, nikamwambia sawa. Basi tukaenda hadi kwake, kilichonipata sitaki kusimulia
Ila we na ulikuwa mrahisi Sana kwa jamaa, pole yako jamani.
 
Kinacho kuhamasisha kutafuta hela ni malengo yako uliyojiwekea.
Kasi ya kutafuta hela kwa mtu wa miaka 25 mwenye lengo la kuwa na billion moja kabla hajafika moaka 40 ni kubwa kuliko kasi ya mtu mwenye miaka 25 ambaye ana lengo la kujenga nyumba ya kuishi ya vyumba vitatu na sebule akiwa na miaka 40.

Kilichomo ndani yako ndicho kinachokupa msukumo wa kutafuta hela.

Wazinzi sio matajiri, na matajiri wakubwa hawana kabisa muda na ngono na pombe na bata.

Ukienda kiwanja gani ndio utamkuta Mo anakula bata?
We unadhani mo unaweza kumkuta kitambaa cheupe!??!?..Wana maeneo yao wale..
 
Mbaya zaidi unapoenda kufanya uzinzi kwa gharama kubwa huku nyumbani kwako ukiwa hujaacha hata senti moja
Kwa hili anaachaje kulaaniwa sasa,laana inatoka kwa watoto,mke,wakwe,majirani ikifika kwa mama yake kumlaani anakua chizi kabisa.
 
Acha watu wachakate mbususu brother kama wewe umeamua kutulia na mkeo Tulia sisi wakurugwa tunachakata mbususu kama kawa
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Na sisi tunaowadinya maporini unatuzungumziaje?
 
hongereni nyote msiopenda hicho mnachokisema, inaonekana mmejenga maghorofa saba saba huko mjini mbweni dsm.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]
 
Jf kila thread ni mtaa wenye watu wake.. Kuna thread nilipita kila mwanaume anasema wanaume wasiochovya chovya wana mapungufu,

huu sasa ni kwa wasiofanya kuepuka mabalaa [emoji2363][emoji2363][emoji2363]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom