Badiguy
Senior Member
- Nov 9, 2021
- 188
- 560
Umemaliza mkuu...Uzinzi sio kwa ajili ya risk takers. Uzinzi ni kwa wale ambao hawana akili...
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." - Mithali 6:32
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza mkuu...Uzinzi sio kwa ajili ya risk takers. Uzinzi ni kwa wale ambao hawana akili...
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." - Mithali 6:32
Ila we na ulikuwa mrahisi Sana kwa jamaa, pole yako jamani.Mikosi nuksi na mabalaa, sio kila bwana anakugharamikia kwa kheri, mwingine anakuja kuiba nyota yako.
Pia wengi kwa kupenda vya bure wameuawa, wamedhalilishwa, wamebakwa, wamepigwa picha za uchi na madhila mengi wamefanyiwa.
Mi nilipata mbaba mmoja ana mijipesa hake ya haja. Akawa ananihonga hadi milioni tano, kumbe ana lake jambo.
Kunitongoza hanitongozi ila anataka tukae wote hadi usiku mkubwa.
Siku moja akaniambia leo utalala kwangu, nikamwambia sawa. Basi tukaenda hadi kwake, kilichonipata sitaki kusimulia
We unadhani mo unaweza kumkuta kitambaa cheupe!??!?..Wana maeneo yao wale..Kinacho kuhamasisha kutafuta hela ni malengo yako uliyojiwekea.
Kasi ya kutafuta hela kwa mtu wa miaka 25 mwenye lengo la kuwa na billion moja kabla hajafika moaka 40 ni kubwa kuliko kasi ya mtu mwenye miaka 25 ambaye ana lengo la kujenga nyumba ya kuishi ya vyumba vitatu na sebule akiwa na miaka 40.
Kilichomo ndani yako ndicho kinachokupa msukumo wa kutafuta hela.
Wazinzi sio matajiri, na matajiri wakubwa hawana kabisa muda na ngono na pombe na bata.
Ukienda kiwanja gani ndio utamkuta Mo anakula bata?
Kwa hili anaachaje kulaaniwa sasa,laana inatoka kwa watoto,mke,wakwe,majirani ikifika kwa mama yake kumlaani anakua chizi kabisa.Mbaya zaidi unapoenda kufanya uzinzi kwa gharama kubwa huku nyumbani kwako ukiwa hujaacha hata senti moja
Mzab lile gonjwa ulilosema unalo ni uongo?Nyie wenzetu hayo magonjwa mnayapataje?
Sio uongo ni kweli ninalo. Vipi ulikuwa wataka kunitunuka mbususu🤣🤣🤣🤣Mzab lile gonjwa ulilosema unalo ni uongo?
Nenda hata level eight hata ukimkuta huwezi kumkuta anamaliza mizinga minne ya konyagiWe unadhani mo unaweza kumkuta kitambaa cheupe!??!?..Wana maeneo yao wale..
AKwa hili anaachaje kulaaniwa sasa,laana inatoka kwa watoto,mke,wakwe,majirani ikifika kwa mama yake kumlaani anakua chizi kabisa.
Ningefanyeje jamani?Ila
Ila we na ulikuwa mrahisi Sana kwa jamaa, pole yako jamani.
Mkuu tunasubiri story yako...unitag kabisaNingefanyeje jamani?
Na sisi tunaowadinya maporini unatuzungumziaje?Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
SubIRiNi mdinywe na nyokaNa sisi tunaowadinya maporini unatuzungumziaje?
KweliUzinzi huleta nuksi kwenye biashara na maisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi umeanzisha ghafla baada ya yule mchizi kusema yeye ana kunywa eagle ila Malaya kaagiza wine ya 35000
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]hongereni nyote msiopenda hicho mnachokisema, inaonekana mmejenga maghorofa saba saba huko mjini mbweni dsm.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jf kila thread ni mtaa wenye watu wake.. Kuna thread nilipita kila mwanaume anasema wanaume wasiochovya chovya wana mapungufu,
huu sasa ni kwa wasiofanya kuepuka mabalaa [emoji2363][emoji2363][emoji2363]