Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu


Halafu kupiga Gym kunafanya ukate sana msosi. Mashemeji huwa wanakerwa na hili wanaona unawatia hasara kukulisha.

8. Kama shemeji ana gari jipe kibarua cha kulipiga sopu sopu akipaki nyumbani. Lakini tumia maji kwa uangalifu ili bili ya maji isiwe chanzo cha kero kwako japo ni gari yake unaosha
 
Ondoka hapo mkuu! Usijifungie huko chumbani, maisha yako nje yanakusubiri.
 
Pole sana.
Uki act hiv watakupenda mpaka kupitiliza na kukufanya mfanya kaIbwao.Hawatataka uondoke hata ukitaka ukapange hawatafurah na ukiomba mtaji watakunyima ili ww boya wao uendelee kukaa nao
 
Umetisha sana aisee.. Hizi huwa nafanya pia ndio maana nimedumu sana hapa.. Huwa naamka mapema sana kabla ya mtu yeyote, napukuta gari yake , naandaa madogo wenyewe akiamka wanakuta mambo mengi yasha kamilika..
Mzee utadumu sana hapo mpaka ujisahaubkuwa unapaswa kushughulika na maisha yako binafsi.Comfort zone hiyo itakumaliza.
Raha ya maisha hayo ni kunyanyaswa na kunyanyapaliwa ili akil ikae sawa kuwa U HAVE TO DO SOMETHING FOR UR LIFE.
 
It's wrong, ukiwa kwa mtu yoyote, onyesha kuwa wewe ni mtu responsible. Hata kama kuna wafanyakazi wa ndani, kula na kulala tu sio kitu kizuri tena kwa binti kama wewe, osha vyombo, saidia kupika, kufua nk.
Hahahahaha weeee me siwezi lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuh poleeeh San

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijuwi Nina bahati gan maana nashemej zangu wote wanataka nikakae kwao, Ila me ndo siwez kuish nje ya nyumban mda mrefu, labda shule tyuuiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8. Fanya kazi za nyumbani kwake ipasavyo, tena hakikisha wakati unafanya kazi hizo anakuona. Hii itamfanya shemeji yako aone wewe ni hard worker na sio mzigo.
9. Usithubutu KUMUOMBA HELA SHEMEJI YAKO, heri umlilie shida dada yako na SIO SHEMEJI
 
Mkuu fikiria maisha yako ya baadaye, huu ndio muda wa kuyaandaa, ONDOKA HAPO.
 
Pole sana.
Uki act hiv watakupenda mpaka kupitiliza na kukufanya mfanya kaIbwao.Hawatataka uondoke hata ukitaka ukapange hawatafurah na ukiomba mtaji watakunyima ili ww boya wao uendelee kukaa nao
Nani anaependa mzigo? Labda ukutane na ndugu lawama wasiojua thamani ya kusaidiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…