Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

Raisi mtarajiwa huyu
 

Tatizo la vijana mnapenda kelele. Hakuna cha maana Makonda kafanya zaidi ya kuwa mpiga kelele na mtafuta sifa mzuri. Hata jamii yetu siku hizi wenye mdomo mkubwa wa kupiga kelele aka machawa ndiyo wanasikika. Imefika wakati Uchawa ni kazi!! Lakini uchawa hausaidii lolote kimaendeleo. Jiulize haya

1. Kuna mawazo yeyote ya ajira kutoka kwa Makonda?
2. Anasema nini kuhusu katiba mpya
3. Kuna kitu gani cha mfumo anataka au ana wazo la kubadilisha

Ukiangalia hotuba zake hakuna hata mmoja
 
Alikufit wewe? Jinga sana
 
Vipi hapa "mpakwa mafuta" alikuwa anafuata "wauza unga" studio ya Radio na Tv saa 4:46 usiku?? View attachment 2953438
Bahati mbaya wewe sio "most informed person wa mambo ya idara"

Tetesi ya hii taasisi kuwabebesha vijana unga toka nchini kwenda majuu zimewahi sikika!!

System inajua mengi ambayo wewe na mimi hatujui ndio maana Kuna mambo hutokea bila sisi kujua kabisa!!

Tumheshimu like alichoenda kufanya.pale Kwa jina la jamhuri ya muungano was Tanzania!!!

Kwenye system Kuna watu wa Kila aina majambazi Hadi matapeli plus hasta wauza unga yote kwa ajili ya usalama.wetu!
 
Rais Samia mwenyewe amesema Makonda umekichemsha chama wewe ni nani unayepinga una wadhifa gani huko serikalini?
 
Ndio ulivyodanganywa hivyo?

Hiyo system inakuwa wapi ku-curb madudu ya ripoti za CAG?

Nani amewajibishwa kwa upotevu wa fedha za walipa kodi?

System this , system that..mtu alikuja akakopa benki 5 na akatimkia majuu 2022 na hakufanywa lolote rais huyo aliyekuwa most informed akaja kulalamika kwenye upokeaji ripoti tu.


Pengine wewe pia labda humu ni mgeni ila mimi nipo humu muda sana na 2008 hadi 2013 watanzania waliofungwa magereza ya China walimuandikia Kikwete barua japo hawakutaja kwa majina ila kwa mtu mwenye akili alijua wauza unga hasa ni kina nani.
 
Stupid comment from a fool.
 
Naona mtoa mada amekimbia baada ya kukosa like.
 
Kesho tarehe 8au9 tutamsikia akiunguruma arusha na akikabiziwa ofisi
 
ARUSHA - : MAKONDA KARIBU KAMA MTUMISHI WA SERIKALI, ILI TUKUPATIE USHIRIKIANO


View: https://m.youtube.com/watch?v=8x4wuLp0pYs
Mambo muhimu ya kipaumbele ni kurejesha soko la Tanzanite Arusha, soko la Mererani la Tanzanite limeshindwa kuiletea mapato mengi serikali kama lilivyokuwa hapa Arusha, wakaazi wasema takwimu hazidanganyi hivyo alishughulikie suala hili mapema.

Eneo jingine mbali na madini ni kilimo na utalii ndiyo injini ya uchumi wa Arusha.

Pia kuelekea chaguzi za serikali za vijiji na mitaa 2024 na uchaguzi 2025 wakaazi wamwambia mkuu wa mkoa awe makini kutoa haki na akifanikiwa hayo yaani madini, kilimo, utalii na uchaguzi wa haki basi Paul Makonda atapata ushirikiano mzuri ila kinyume na vipaumbele hivyo hawatasita kumueleweshe kwa kumuambia ukweli.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…