Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Msome taratibu mleta mada...... Kichaa mwingine huyu, mtu hata ajaingia oficin anapongezwa kwa maendeleo
Nimempa na nyongezaHata siku moja bado hajamaliza,hizo mbili ni zipi?
Wewe unamwonaje Makonda mkuu?Sikujua kama na wewe ni tutusa hivi, mnamchukuliaje mungu nyie?
Kwanini bossJinga sana
Anaakili kama zakoWewe unamwonaje Makonda mkuu?
Lakini mkuu kwani mtu akipewa kibali na Mungu kuna tatizo?Usipende kumhusisha Mungu na mambo ya kipumbavu. Kama wewe unaona anafaa sema sio kumtanguliza Mungu. Halafu mtu mwenye kipawa Cha uongozi Hana haja ya kusifiwa. Hivi unamjua Mwinyi Hussein Rais wa Zanzibar?. Yule utamlinganisha na Makonda kwenye uongozi?.
Kwanini bossJinga sana
Hivi kwanini wananchi wote wanamfuata Makonda?Anaakili kama zako
Mkuu wala sio uchawaThread za kichawa zimezidi Sana JF sijui kwanini.
Makonda ni kiongozi na nusuThread za kichawa zimezidi Sana JF sijui kwanini.
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo. Kwa matendo ya Makonda ni dhahiri ni muabudu shetani.Wale mnaompiga vita Makonda mnapoteza muda.
Makonda ana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.
Ndio maana huwezi mkuta Makonda anafanya uchawa.
Siku zote anachapa kazi na kuungwa mkono kila anapopita.
Wasio muunga mkono Makonda ni kwasababu hawana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.
Mimi umeniona kwa makonda?Hivi kwanini wananchi wote wanamfuata Makonda?
Muda ni mwalimu mzuri utaongea.Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo. Kwa matendo ya Makonda ni dhahiri ni muabudu shetani.