Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

Mmh hata mie ninayemsifia sipendi post yako kwa uongo ni ya uongoo unakuwa chawa wakipekee sasa dah msifie mama samia sio makonda
 
Wale mnaompiga vita Makonda mnapoteza muda.

Makonda ana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.

Ndio maana huwezi mkuta Makonda anafanya uchawa.

Siku zote anachapa kazi na kuungwa mkono kila anapopita.

Wasio muunga mkono Makonda ni kwasababu hawana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.
 
Usipende kumhusisha Mungu na mambo ya kipumbavu. Kama wewe unaona anafaa sema sio kumtanguliza Mungu. Halafu mtu mwenye kipawa Cha uongozi Hana haja ya kusifiwa. Hivi unamjua Mwinyi Hussein Rais wa Zanzibar?. Yule utamlinganisha na Makonda kwenye uongozi?.
 
Lakini mkuu kwani mtu akipewa kibali na Mungu kuna tatizo?
 
Wale mnaompiga vita Makonda mnapoteza muda.

Makonda ana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.

Ndio maana huwezi mkuta Makonda anafanya uchawa.

Siku zote anachapa kazi na kuungwa mkono kila anapopita.

Wasio muunga mkono Makonda ni kwasababu hawana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo. Kwa matendo ya Makonda ni dhahiri ni muabudu shetani.
 
Back
Top Bottom