Ligi tamu sasa full burudani na inatakiwa iwe bampa to bampa mpaka tare 8 tuone mtanage sasaValentine imeharibiwa na Yanga. Aaah maumivu tupu
ndiyo tuanze kutaongeza hapa hapaYanaongeleka eti
Wanajua huoni hawajichanganyiUlitakiwa unitaje mapema kabisa kama mimi ndiye Valentine wako wa miaka yote. π₯°
Naunalia sasa nani ajeMdada Mmoja ajitokeze kunipenda
β€π agati love for evebadeSafiβ€οΈ
Ngoja niishie hapa kwanzandiyo tuanze kutaongeza hapa hapa
Yoyote atakayenuhurumiaπ€Naunalia sasa nani aje
Sitaki iwe hivyo jamani,. Nisaidie kumtag mwambie Nampenda sanaπ.Siku akianza kukuweka moyoni wewe utakua umeshamchoka π€£
Sikia kwanza, una mtu wa kutoka nae valentine?Nawatakia valentine njema Wana jamii forum wote wake kwa waume pamoja na familia zenu..... Bila kusahau wakaka na wadada,, kataa ndoa wote pamoja na ma jobless wote happy valentine kwenu nyote.
Nani ananipenda humu ndani awe mdadaValentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
NinaeSikia kwanza, una mtu wa kutoka nae valentine?
Namtakia Valentine day babe wangu SweetyCandy. πβ€οΈWanajua huoni hawajichanganyi
ππ It sounds goodβ€π agati love for evebade