Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?

Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.

Humu ndani usipokuwa makini unaweza kumtaja ME mwenzako...hizi Id's humu ndani noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ