Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

Hii dhima ya ukipanga wengi wenu huwa mnaichukulia kienyenyeji sana yaani.
Mtu usome st nani nani spoon feeder utoke na divII halafu uje ujilinganishe na aliyekula msoto st kayumba akaibuka na divII.

Kiuhalisia mtahiniwa aliepia one ya 7 toka st kayumba ndo pure kipanga na haitakiwi kumuweka zizi moja na hawa wa st francis.
Results za six huwaumbua sana hawa vijana walipiga one kali toka st kunani wakija govt schools.
 
Vipi nae zuchu alikuwa kipanga maana naye kwa sasa ni mfano wa kuigwa
Zuchu sijajua ila kuna uwezekano pia kuwa alikuwa kipanga. Lakini yule binti akili imo kwasababu mara kadhaa nilishawahi ona comments zake mtandaoni kwenye ishu nyeti tena kwa lugha ya kiingereza.
 
Kipanga ni kipanga. Iwe St au Govt. Hakuna kisingizio.
 
Jokate lihitimu mwaka 2004,mkuu ila alikuwa ni anaakili za wastani tuu ,nahisi alipsta div one ya 15
 
Jokate Mwegelo ni I.11 pale St Anthony Mbagala. Jitahidi uwe unafurahia mafanikio ya wengine.
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Mtu anashindwa kufikisha alama 41 kwenye hisabati za o level mnamuita kipanga????

Jokate sawa alikua na ufaulu mzuri na amekua na mafanikio ila neno kipanga liheshimiwe
 
div 2 kipanga? acha utani
 
Div 2 nayo ni ukipanga? We kweli fala na unakandikwa matacore
 
Mtu anashindwa kufikisha alama 41 kwenye hisabati za o level mnamuita kipanga????

Jokate sawa alikua na ufaulu mzuri na amekua na mafanikio ila neno kipanga liheshimiwe
Hiyo A ya chemistry na Biology unazichukuliaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…