Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

Mwakani nitakuwa mtu wa kuandika mada jukwaa la inteligesia tu basi.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sawa bhana yote yanawezekana!!! ila mm siwez kuandka post kule intellegencia mpaka nipate hela mana kule kunahtaji utulize akili ndo uandke. vinginevyo utapost utopolo afu mods watapita na wewe
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sawa bhana yote yanawezekana!!! ila mm siwez kuandka post kule intellegencia mpaka nipate hela mana kule kunahtaji utulize akili ndo uandke. vinginevyo utapost utopolo afu mods watapita na wewe
Haha ndio maana nikasema mwakani hapo (money involved).
 
Kuna jamaa naye alikua ana hizi mishe za kiduanzi namna hizo...lol.mbona Magu kamnyoosha vyema Sasa hivi 24-24th...nasemaga saafi kbs....amekua mpoleeee
Wanaojiita wasomi wengi wao wananyodo za kishezi Sana
Nakumbuka mwaka 2017 sept,pale posta Dodoma kunakijana mmoja alinijubu fyongo kisa nafuatilia mtonyo wangu.
 
Kwel kaka sangoma muhim
 
Ndicho nilichokisema hapo kwenye comment yangu au umeguswa mkuu ' personal'
hahahah umesema unataka mwanaume tayari anajiweza sio mganga njaa anayetafuta...ukishaona unataka mwanaume mwenye nayo ujue unataka sponsor wala sio kingine
 
hahahah umesema unataka mwanaume tayari anajiweza sio mganga njaa anayetafuta...ukishaona unataka mwanaume mwenye nayo ujue unataka sponsor wala sio kingine
Hapana mkuu,

Nimeongea hivo coz na mimi ni mtafutaji, so napenda wote tufanane yaan..ni hilo tu
 
Ila wadau nyumbani kuna graduate mmoja kapanga kahutimu uhasibu miaka minne nyuma kaanika nguo zake za kazi kiwandani cheap leabour kakonda.
We jamaa una utoto utoto sana
 
Vijana, ni wakati mnapaswa to change your mind set; la sivyo, mmekwisha!
Hii employment syndrome itawafikisha pabaya. Wakoloni wa kiingereza walitutengenezea mfumo wa elimu na ajira ulio mbaya mno; kuwa tegemezi. Unategemea kuajiriwa na mtu au taasisi. Unategemea mshahara.
Ndiyo maana mwajiriwa msomi kabisa utakuta yupo anang'ang'ana ktk ajira na mshahara wa 1,300,000/= mpaka anastaafu au kufa. Colonialism castrated our brains. Tuko brain washed. Tanzania kuna fursa nyingi za kazi za kujiajiri. Vijana very selective kwa kazi. Wanaiga. Umri ndiyo unakwenda hivyo.
Mfumo wetu wenyewe wa ajiri very vague. Kuna hii kitu wanaita recategorization maeneo ya ajira Serikalini. Mfumo huu wa hovyo mno kwa sasa. Unaziba nafasi za ajira kwa wahitimu wapya vyuoni. Mfumo huu umeathiri sana sekta ya elimu hususan walimu wa shule za msingi. Walimu wengi wamekwenda kusoma these so called "cheap degrees and diploma" za lugha, mipango, biashara, na baada ya kuhitimu wamekimbilia idara nyingine za mipango, utumishi, utawala, n.k. Wamejaa huko na kuziba nafasi ya wahitimu wapya. Recategorization.
Anyway, kijana njoo shambani na ufugaji; kuna fursa nyingi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ