Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

Duuh hataree

Hebu niambie dada yangu, umemaliza chuo na degree yako, unaapply kazi Mara 100 lkn hupati, unaanza biashara kwa mtaji wa kawaida unaishia kupata hasara, mtaji unashuka mwishowe unafilisika..

Kabla ya biashara kufilisika kabisa, hio biashara, itakupa hela ya kula tu, kama ni kidume, hapo utakuwa una hela ya kula tu, hela ya ziada huna, hata kuoa na kuanzisha familia unakuwa huwezi.. Unaona ukioa utatesa watoto na njaa

Ndo mwanzo wa kufanya vibarua mtaani, na kazi ambazo sio tu zinakudhalilisha, pia kazi ambazo zinakupa ujira mdogo, ambao huwez fungua nao biashara ya maana, kinachouma si kufanya hizo kazi, kinachouma ni muda na gharama mtu ulizotumia kusoma chuo, hlf unakuja fanya kazi ambazo la saba anafanya its like, ni heri mtu usingefika chuo kabisa witnessj
 
maisha haya, faraja za watu ni kama ulevi wa muda, ukiipata unasahau ila watu wakiendelea na maisha yao unarudi pale pale

kinachomatter mkuu ni kutafuta solution na hiyo ndio inatakiwa kuwa focus yako. Haijalishi umekosa mara ngapi maana hata ukiifikiria sana hauwezi kubadili chochote zaidi ya kujipa depression.

Fikiria your next move always na tafuta kitu chochote positive kwenye situation yako. Maybe Ulikosa lakini kuna ambao hawajawahi hata kuitwa kwenye interview for years so upo kwenye better position na Jifunze from it na umshukuru Mungu

Watu hawatokuelewa na watu watakuhukumu while hawajui ugumu wa situation yako. Watajaribu kukulinganisha na wenzio lakini be the last person to do that to yourself. Just be fair to yourself, usipoteze focus na ujifunze kuhimili hayo machungu tu mkuu
 
Wejamaa ulichofanya ni kuzungushazungusha lugha tu hapo kwani chumvi ya bahari kaiweka nani si Mungu...akisema aoge chumvi atoe nuksi hapo kaitakasa chumvi kivipi, sawa na kusema
1)soma uwe na maisha mazuri (je tumeitakasa elimu)
2)kula matunda upate afya (je limetakaswa tunda)

Kilichopo ni Mungu anatenda kupitia kisababishi (chumvi, matunda, elimu nk) sasa unapotamka sentensi humtaji Mungu ila Lawa ya ulimwengu ukitaja chochote basi nyuma yake umemtaja Mungu sasa ukisema umtaje Mungu utahitajika kumtaja kila sentensi.

Ni kwamba umechengesha lugha tu.

Tatizo ni uelewa wa neno ushirikina (shirki).
Maana ya shirki ni kumshirikisha Mungu na kitu chochote ktk ibada zake...mfano,kumuomba yeye kupitia ktu au kupata utakaso kupitia kitu au mtu.

Sasa unaposema Mungu anatenda kupitia kisababishi ndyo shirki yenyewe...embu fikiria na yule anaeabudu moto/sanau kama kisababishi au kiwakilishi kwa Mungu,je unaonaje hilo?

Nikweli kila kitu huja kwa sababu fulani...mfno rizki,lazma ujishughulishe ndo Mungu nae anakupa humohumo Kwenye shughuli zako lakini sio mambo ya maombi,utakaso n.k...

Pia Mwenyez Mungu ameruhusu baadhi ya vtu vfanywe kwa ajili yake Kama kafara.
 
Hebu niambie dada yangu, umemaliza chuo na degree yako, unaapply kazi Mara 100 lkn hupati, unaanza biashara kwa mtaji wa kawaida unaishia kupata hasara, mtaji unashuka mwishowe unafilisika..

Kabla ya biashara kufilisika kabisa, hio biashara, itakupa hela ya kula tu, kama ni kidume, hapo utakuwa una hela ya kula tu, hela ya ziada huna, hata kuoa na kuanzisha familia unakuwa huwezi.. Unaona ukioa utatesa watoto na njaa

Ndo mwanzo wa kufanya vibarua mtaani, na kazi ambazo sio tu zinakudhalilisha, pia kazi ambazo zinakupa ujira mdogo, ambao huwez fungua nao biashara ya maana, kinachouma si kufanya hizo kazi, kinachouma ni muda na gharama mtu ulizotumia kusoma chuo, hlf unakuja fanya kazi ambazo la saba anafanya its like, ni heri mtu usingefika chuo kabisa witnessj
Usema ukweli inauma sana sana, na ndio maana nikasema kama una roho ndogo unaweza tamani kuji RIP

but nirudie tena kukwambia usione watu wanacheka barabarani mtu akikusimulia yake, utajiona yako chekechea kabisa!

Watu Wana misalaba mizito sana asee, na dunia ni ngumu kinoma.

Kikubwa kama afya ni njema huo ni mtaji tosha kabisa
 
Tatizo ni uelewa wa neno ushirikina (shirki).
Maana ya shirki ni kumshirikisha Mungu na kitu chochote ktk ibada zake...mfano,kumuomba yeye kupitia ktu au kupata utakaso kupitia kitu au mtu.

Sasa unaposema Mungu anatenda kupitia kisababishi ndyo shirki yenyewe...embu fikiria na yule anaeabudu moto/sanau kama kisababishi au kiwakilishi kwa Mungu,je unaonaje hilo?

Nikweli kila kitu huja kwa sababu fulani...mfno rizki,lazma ujishughulishe ndo Mungu nae anakupa humohumo Kwenye shughuli zako lakini sio mambo ya maombi,utakaso n.k...

Pia Mwenyez Mungu ameruhusu baadhi ya vtu vfanywe kwa ajili yake Kama kafara.
Mmmh mbona kafara kama kafara[emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Nikuweke sawa.

Shirki_ni kumshikisha Mungu (maana yake kukioa kitu fulani uwezo wa Mungu) mfano unamuomba Ng'ombe/sanamu akutatulie matatizo yako hiyo ndio Shirki.

Je kusema Matunda yanaleta Afya ni Shirki ?? Jibu.
 
Hebu niambie dada yangu, umemaliza chuo na degree yako, unaapply kazi Mara 100 lkn hupati, unaanza biashara kwa mtaji wa kawaida unaishia kupata hasara, mtaji unashuka mwishowe unafilisika..

Kabla ya biashara kufilisika kabisa, hio biashara, itakupa hela ya kula tu, kama ni kidume, hapo utakuwa una hela ya kula tu, hela ya ziada huna, hata kuoa na kuanzisha familia unakuwa huwezi.. Unaona ukioa utatesa watoto na njaa

Ndo mwanzo wa kufanya vibarua mtaani, na kazi ambazo sio tu zinakudhalilisha, pia kazi ambazo zinakupa ujira mdogo, ambao huwez fungua nao biashara ya maana, kinachouma si kufanya hizo kazi, kinachouma ni muda na gharama mtu ulizotumia kusoma chuo, hlf unakuja fanya kazi ambazo la saba anafanya its like, ni heri mtu usingefika chuo kabisa witnessj
Aisee hii Dunia.
 
Ila wadau nyumbani kuna graduate mmoja kapanga kahutimu uhasibu miaka minne nyuma kaanika nguo zake za kazi kiwandani cheap leabour kakonda.
 
Mkuu pambana tuu maisha haitakiwi kukata tamaa na pia hii corona imeharibu mfumo wa maisha na ukifanikiwa usisahau kutengeneza mazingira mazuri ya wengine usijisahau kama hao ili hii circle ya umasikini tuifute inaumiza sana ila usikate tamaa kabisa...
Hii kitu ya maingi Sana mkuu
 
Mmmh mbona kafara kama kafara[emoji28][emoji28][emoji1787]
Eeeh bibie ni kafara Kama kafara..

Mfno nabii Ibrahim alipewa jaribio amtoe mwanae ampendae kafara kwa kumchinja...
Ndo sku hizi waislamu ikifika eid ya kuchnja huwa wanachinja wanyama kama kuhidhimisha hyo sku.

Pia watu hutoa kafara kwa asie kuwa Mungu hyo ni shirki pia.
 
Nikuweke sawa.

Shirki_ni kumshikisha Mungu (maana yake kukioa kitu fulani uwezo wa Mungu) mfano unamuomba Ng'ombe/sanamu akutatulie matatizo yako hiyo ndio Shirki.

Je kusema Matunda yanaleta Afya ni Shirki ?? Jibu.
Ahahaaa...

Mbna afya na nuksi vtu viwili tofauti kabsa mzee....

Au hujui nini maana ya nuksi na nini maana ya afya ili tuanze kuelimishana?

Ukisema matunda yanatoa nuksi hyo ni shirki....ni sawa na ukasema ukioga maji ya chumvi hutoa nuksi...

Watu huzaliwa na afya zao Ila nuksi/ husda/kijicho huzkuta duniani...ni darsa pana sana ndomana hatuelewani.
 
Back
Top Bottom