Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Utumwa wa kifikra
 
Kutaja habari kuhusu wahindi ni lazima niwe nimetembelea India?

Waarabu hawapo hapa nchini? Siwaoni kupitia vyombo vya habari?
Uliowaona watanzania itv ndiyo umeona watanzania wote!!..una akili gani wewe!?
 
Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..

Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..

Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Haha! Ndo mnajua Leo poleni..😂
 
Mkuu, Taifa la Israel, Mungu aliweka nao Agano la Milele kua kielelezo chake.

Yaan unapoona Israel ya Sasa, Ujue Mungu Yupo, aliumba, na kwamba yote tunayoyasikia juu ya ukuu wake ni yakweli.


Sasa kwakua, Moja ya ahadi ,ni KUWABARIKI WALE WANAOITAKIA HERI ISRAEL ...ndio sababu watu wengi wanakua na Bendera hizo Kiimani tu kama sehem ya Uhusiano na Mungu kupitia Taifa lake la Israel.

Hata kwenye Kuomba, Unaposema "Mungu wa Israel ...".... Unampa Mungu Furaha sana na Utukufu mkubwa .


Licha ya kwamba,Israel ya sasa Imemuasi Mungu, ila Yeye analitizama Agano lake zaidi aloweka nao.
 
Mbona bongo kuna watu wanavaa kilemba kama kile cha arafat, na yuko bongo!
 
Sio tu bendera ya Israel Hadi bendera ya America unakuta mtu kwaweka cha ajabu hakuna hata ya Tanzania
Bongo wanajifanya bendera ni kama kitu kitakatifu..wakati viongozi unafiki tu umewajaa..watupe ruhusa tuninginize bendera ya taifa majumbani kwetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Shida ipo wapi kila mtu akiamini lake?
 
Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..

Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..

Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Tena kwa myahudi bora kidogo na muislam kiimani zinaiva kuliko mkristo.......sema tu mizozo ya kisiasa ndo inafanya wanyukane
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mjinga tuu anaamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mjinga tuu anaamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjinga pekeake asojua maandiko ndio hilo hawezi kulijua.

IPO hivo, na itabaki kua ivo siku zozote.
 
Wote wale wale huku Wagalilaya weusi,kule Waquraish weusi
Ngoma droo Wote Wendawazimu TU!
Yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuamini katika maswala ya arab herdsmen and watoza ushuru wa kiyahudi ni kupungukiwa na akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukimuuliza mtu huyo mungu aliweka agano wapi na nani , na nani alikua shahidi wa hilo agano hamna atakayekuja tena mungu anapendelea watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…