inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Halafu hakuna asali Wala maziwa,mawe,vumbi,jua kalinchi ya ahadi yenye asali na maziwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hakuna asali Wala maziwa,mawe,vumbi,jua kalinchi ya ahadi yenye asali na maziwa
Utumwa wa kifikraWakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel?
Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Uliowaona watanzania itv ndiyo umeona watanzania wote!!..una akili gani wewe!?Kutaja habari kuhusu wahindi ni lazima niwe nimetembelea India?
Waarabu hawapo hapa nchini? Siwaoni kupitia vyombo vya habari?
Haha! Ndo mnajua Leo poleni..😂Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..
Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..
Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Ni Sawa na wale wanaompiga shetani kwa maweUsipate tabu hao ni Wayuda na Wanazarayo weusi wa buzer Kwa Mphalanger hata wasikupe taabu ni majuha flani kutoka Afrika wanaoamini Mungu yupo Jerusalem.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeI doubt !
Hii inaonyesha ww ni mvaa kibaraghashia!
Otherwise huwezi kuisema hivyo Israel !
Mara paap, Tanzania ndio nchi ya ahadi walioahidiwa mababu wa israel.
Tutapoteza wengi sana pakitokea vita kati ya Tanzania na Israeli.
Bongo wanajifanya bendera ni kama kitu kitakatifu..wakati viongozi unafiki tu umewajaa..watupe ruhusa tuninginize bendera ya taifa majumbani kwetu.Sio tu bendera ya Israel Hadi bendera ya America unakuta mtu kwaweka cha ajabu hakuna hata ya Tanzania
Shida ipo wapi kila mtu akiamini lake?Wakristo wa Africa hawapo sawa sidhani hilo jambo kama unaweza kulikuta kwa wakristo wazungu iwe ujerumani urusi au nchi yoyote eti aweke bendera ya Israel
Laiti waktriso wangejua kuwa wayahudi hawampendi huyo Yesu na walimsulubisha kwakuwa alikuwa ana laana ya taurati
Asilimia kubwa ya waisrael wanafata dini ya Judaism ambayo mafundisho yake wanafata The Talmud unmasked
Ukisoma vizuri The Talmud unmasked utakuja kuona mariam aliitwa malaya alimzaa mtoto wake na pepo chafu rejea The Talmud unmasked by Rev I.B Pranaitis chap 1 ukurasa wa 30
"Hayo ndio waliyoyatenda kwa mwana wa Stada katika Lud na wakamsulubisha jioni ya Pasaka.Kwani mwana huyo wa Stada alikuwa mwanaye Pandira.Maana Mwalimu Chasda anatuambia ya kuwa Pandira alikuwa mume wa Stada aliyekuwa mamake,na yeye aliishi katika zama za Paphus wa Jehuda"
Mwandishi wa The Talmud unmasked Rev IB Pranaitis akifanunua maneno hayo juu akisema
"Hayo yanamaanisha ya kwamba Mariam ndiye aliyeitwa Stada yaan malaya kwani sawa na ilivyofundishwa hapo Pumbadita yeye alimuacha mumewe na akafanya uzinzi.Hayo pia yameandikwa katika Jerusalem na Maimonides"
Kwa maelezo zaidi kasome mafundisho ya Talmud kwa uraisi tafuta kitabu cha Talmud unmasked by Rev I.B Pranaitis na uone wakristo na Yesu walivyosimangwa na kutukanwa na wayahudi that's why population yao israel ni asilimia 2 tu
Tena kwa myahudi bora kidogo na muislam kiimani zinaiva kuliko mkristo.......sema tu mizozo ya kisiasa ndo inafanya wanyukaneNimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..
Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..
Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mjinga tuu anaamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, Taifa la Israel, Mungu aliweka nao Agano la Milele kua kielelezo chake.
Yaan unapoona Israel ya Sasa, Ujue Mungu Yupo, aliumba, na kwamba yote tunayoyasikia juu ya ukuu wake ni yakweli.
Sasa kwakua, Moja ya ahadi ,ni KUWABARIKI WALE WANAOITAKIA HERI ISRAEL ...ndio sababu watu wengi wanakua na Bendera hizo Kiimani tu kama sehem ya Uhusiano na Mungu kupitia Taifa lake la Israel.
Hata kwenye Kuomba, Unaposema "Mungu wa Israel ...".... Unampa Mungu Furaha sana na Utukufu mkubwa .
Licha ya kwamba,Israel ya sasa Imemuasi Mungu, ila Yeye analitizama Agano lake zaidi aloweka nao.
Mjinga pekeake asojua maandiko ndio hilo hawezi kulijua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mjinga tuu anaamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo agano walifanya wapi na lini , kwahiyo mungu mnayemuamini ana upendeleo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjinga pekeake asojua maandiko ndio hilo hawezi kulijua.
IPO hivo, na itabaki kua ivo siku zozote.
Itoshe kusema sentensi yako ya mwisho imenichekesha sana🤣Wengi wao ni religious fanatics hususani new born again Christians, wakati wa Israel wana upinga ukuristo.
Africa is a continent of confused fellows
Duh, hizi imani zina mambo mengi sana!!Wengi huwa ni Wakristo, na huamini kupeperusha bendera ya Israel ni sawa na kuonesha wanakubaliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo(Isreal)
Wote wale wale huku Wagalilaya weusi,kule Waquraish weusiNi Sawa na wale wanaompiga shetani kwa mawe
Yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuamini katika maswala ya arab herdsmen and watoza ushuru wa kiyahudi ni kupungukiwa na akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wote wale wale huku Wagalilaya weusi,kule Waquraish weusi
Ngoma droo Wote Wendawazimu TU!