Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Ngano zao Zina vioja Sana Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mfuasi wa Hizo Dini za mchongo Wala kuamini Huyo Mungu wa Abraham Ili Hali wewe ni Mmatumbi pure!Yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuamini katika maswala ya arab herdsmen and watoza ushuru wa kiyahudi ni kupungukiwa na akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukimuuliza mtu huyo mungu aliweka agano wapi na nani , na nani alikua shahidi wa hilo agano hamna atakayekuja tena mungu anapendelea watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona hili jibu linatosha hakuna haja ya kuongezaWengi huwa ni Wakristo, na huamini kupeperusha bendera ya Israel ni sawa na kuonesha wanakubaliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo(Isreal)
Duh, hizi imani zina mambo mengi sana!!
Hao wakristo walioko Israel,ni waarabu,ni wapalestina.Hakuna cha kuingizwa chaka hapa. Hakuna mtu anayesema dini ya Israeli ni Ukristu. Kinachosemwa ni kwamba Kristu alikuwa Myahudi aliyezaliwa huko huko Israeli. Taifa lake mwenyewe walimkataa hadi wakamuua. Alidiriki hata kusema 'nabii hatambuliki kwao'. Kutambua mtu na kutambua nchi anakotoka ni vitu viwili tofauti. Kwa mfano kabla ya mwaka 1994 wakati Mandela alipokuwa bado gerezani, kuna watu wengi waliokuwa wakimtambua (pamoja na Serikali ya Tanzania) lakini walikuwa hawakubaliani na Serikali ya nchi yake ya Afrika ya Kusini. Yesu aliyeanzisha Ukristu, alizaliwa Bethlehemu huko Israeli. Maria, mama yake, na Yosefu, baba yake mlishi, walikuwa raia wa Israel. Aliteswa huko Kalvario, akatundikwa msalabani Golgota hadi akafa na kuzikwa huko. Wafuasi wa dini aliyoanzisha hawawezi kuacha kwenda kuzuru maeneo hayo eti kwa sabababu tu serikali yake hawakumkubali. Ni kweli kwamba takriban asilimia 85 ya watu wa Israeli dini yao ni Judaism na chini ya asilimia 5 ndiyo Wakristu, wanaomfuata mzawa wa huko Uyahudini. Wao walimkataa wakadiriki hata kumuambia Pilato, mkoloni wa Kirumi, kwamba wao wanamtambua Kaysari wa huko Roma, na siyo huyu mtoto wa nyumbani. Mtawala wanayemtambua ni huyo mfalme wa Roma.
kwa ufupi, tutenganishe kumfuata mtu na kufuata sera za serikali ya nchi yake.
Acha kupotosha!hata kule ni sunna
Maajabu ya Rajabu😁Maajabu
Duuuh!yaani watu baadala ya kuonyesha uzalendo kwa kutumia bendera za nchi zao na asili za mababu zao wako busy kutukuza mataifa mengine, purely brainwashed Africans.
Huu mimi naona ni ushamba, ulimbukeni na ujuha Mtanzania mzaramo/mnyaki /msukuma/ Mchaga eti analitukuza Taifa la Israeli baadala ya kuitukuza na kuipenda nchi yake Tanzania..
Ni umbumbumbu tu wakutoitambua thamani ya utu wako, kufikiri ujinga wa kutangaza taifa jingine ndani ya mipaka ya nchi yako uhalalisha imani, kumbe unachangia kudhoofisha uzalendo ndani ya taifa lako.Wakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel?
Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Wakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel?
Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Ni umbumbumbu tu wakutoitambua thamani ya utu wako, kufikiri ujinga wa kutangaza taifa jingine ndani ya mipaka ya nchi yako uhalalisha imani, kumbe unachangia kudhoofisha uzalendo ndani ya taifa lako.
Unajua kwamba Waisrael wote siyo Wayahudi?Kwani biblia imesema waosrael ni wakristo?
Mungu yupi? Mana wao hawaamin katika jesusWengi huwa ni Wakristo, na huamini kupeperusha bendera ya Israel ni sawa na kuonesha wanakubaliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo(Isreal)
Israel ni nchi kama zilivyo nchi zingine, hamna zaidi ya hapoI doubt !
Hii inaonyesha ww ni mvaa kibaraghashia!
Otherwise huwezi kuisema hivyo Israel !
Sio Uzalendo ila ni Ushamba kupeperusha Bendera nyingine nchini kwakoDuuuh!
Kuweka bendera ya taifa lingine haimaanishi kulitukuza. Na kufanya hivi hakukufanyi kutokuwa mzalendo.
Kuweka bendera ya taifa lako/kuvaa rangi za bendera ya taifa lako haimaanishi uzalendo. Na kutokufanya hivyo haimaanishi si mzalendo.
Your remarks are typical CCM.
Ndio ni swali..
Mimi ni RC
Hana maana ya utaifa, ni issue ya kiimani tu zaidi,Sio Uzalendo ila ni Ushamba kupeperusha Bendera nyingine nchini kwako
Nimependa hilo neno "Black Gentiles" Matoyo 15: 34 Gentiles Paul aliwaliganisha na mbwa, kwa kusema "huwezi kuchukua chakula cha watoto arafu ukakipa mbwa"....wakati anamanisha wale ambao sio Jews in mbwa.......hapo ndo unakuta wa Africa tusio jitambua tuna jipendekeza kwa wa isreal wakati wenyewe hawakutambui.Kupeperusha Bendera yenye Star of David na alama ya Mito ya Tigris na Euphrates wakati wewe ni Black Gentile ni kulitia nuksi Taifa la Watu.
Peperusha bendera ya Simba Sports Club.