Kama unalijua Hilo Basi hata Suala la watu kutumia Bendera Ya Israel Usiwalaumu ...Zaana zina buniwa mkuu, sio lazima ziandikwe kwenye bibulia, kuna sehemu yoyote imeandikiwa kutumia mic [emoji441] na speakers[emoji344] kanisani? Lakini sizinatumika kila mahala.
Mkuu zana hutumika sio kuonyeshwa, wale wanao weka kibendera cha nchi huru yenye raisi wake na bunge lao, wakati na wewe una nchi yako na bunge lako chini ya speaker mpya Tulia, ni ujinga au limbukeni wa dini... kama una uzalendo kwanini usitundike bendera ya nchi yakoSasa huyo ambaye ameweka kabendera ka Israel kama zana ya Imani yake kwa Mungu wa Israel ana tofauti gani na aliyeweka Rozali kama zana ya Imani yake ya kirumi?
Umekosa mfano mwingine mpaka ukaamua kuutumia huo?
Hizo akili na ubunifu wa kutengenza silaha za kujilinda zimetoka wapi..mana Israeli hajaanza leo kujilinda.Wakristo wanamtegemea mungu wa israeli kuwalinda, waisraeli wanategemea majeshi na vifaa vyao vya kivita kuwalinda
Mkuu Kama ambavyo wewe unahesabu Rozari na Haijaandikwa kwenye Biblia ninlazima ukubali hata wengine wanaweza Kutumia Zana nyingineMkuu zana hutumika sio kuonyeshwa, pale wabapo weka kibendera cha nchi huru yenye raisi wake na bunge, wakati na wewe una nchi yako na bunge chini ya speaker mpya Tulia, ni ujinga au limbukeni wa dini.
upo sahihi hujakoseaNimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..
Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..
Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Ni sawa. Basi wewe unaelezea historia ya karibuni kabisa baada tu ya kuanzishwa UNO then UN.Modern israel state umeundwa na UN baada ya vita ya dunia ya pili, manzoni UN elipendekeza hilo taifa liunde Africa kwenye British East Africa colonies, kwa kuchukua sehemu ya uganda kasikazini na sehemu ya Kenya magharibi, ila uingereza ikakata kata kata, ndo maana wakaamishiwa maeneo ya Palestine na Jordan mwaka 1948
Aliyekwambia Hatujui kwamba Wayahudi Wanapingana na Ukristo Ni Nani....Watanzania wanaamini Israel Ni Taifa teule, wanaamini Israel Ni wakristo,Ila Hawajui hao Israel hao Israel wanapinga huo ukristo...Maajabu
Mkuu bendera ya Taifa sio zana ya ibaada, labda kwa njia za ki shirkina uenda.Mkuu Kama ambavyo wewe unahesabu Rozari na Haijaandikwa kwenye Biblia ninlazima ukubali hata wengine wanaweza Kutumia Zana nyingine
Usijione kwamba wewe ndyoo uko sahihi Zaid.
Mbona Kama umepanic?Alio wake Mungu anawajua....AsanteAliyekwambia Hatujui kwamba Wayahudi Wanapingana na Ukristo Ni Nani....
Hata Biblia Inatuambia Hvyo...na Ile kwamba Mtu anakupinga haina Maana na wewe umchukie..
Ndyo maana Yesu akasema "Wapendeni wanaowaudhi"
Hata Waarabu Walituchukua Utumwa na Kutuua Waafrika Kikatili Sana Sana
Lakini Mpaka Leo Kuna Watu wanaenda Saudia Kuhiji.....Sembuse Wayahudi??
Kwani Ni wapi Palipoandikwa Rozari Ni Zana ya Ibada..na kukataza Kwamba Bendera Haifai??Mkuu bendera ya Taifa sio zana ya ibaada, labda kwa njia za kushirkina uenda.
Sasa mkuu hilo lina uhusiano gani na hao watanzania wetu hapa kuzunguka na vibendera vyao kwenye magari yao na majumbani unakuta vime tundikwa? Kama sio religious madness ni nini?Ni sawa. Basi wewe unaelezea historia ya karibuni kabisa baada tu ya kuanzishwa UNO then UN.
Ila Israel ilishakuwa Taifa kwa miaka mingi sana nyuma. Ni miongoni mwa nchi za kale (Ancient countries) kama ilivyo kwa Persia, Egypt, Mesopotania n.k kabla hata ya Ugiriki (Uyunani) kuwepo. Ilikuwa na mipaka yake pamoja na uongozi wa enzi hizo, UNO na baadae UN zimekuja kuwepo baada ya nchi nyingi mpya kupata mipaka rasmi na kuachia makoloni.
Na hasa baada ya vita vya pili vya dunia ambapo USA ilipata nguvu sana na mamlaka ya kidunia.
Hivi kwani Rozali ni ya Tanzania? Una uhusiano nayo wowote? Asili yake sio Vatican/ Italy penye misingi ya Roman Catholic?Mkuu zana hutumika sio kuonyeshwa, wale wanao weka kibendera cha nchi huru yenye raisi wake na bunge lao, wakati na wewe una nchi yako na bunge lako chini ya speaker mpya Tulia, ni ujinga au limbukeni wa dini... kama una uzalendo kwanini usitundike bendera ya nchi yako
Siyo dini mojaHivi Ukristo na Uyahudi ni dini moja?
Kwamba huyo Mteule ana upendeleoIsrael Taifa teule...
Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Israel Taifa teule...
Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sawa, hata utundikaji wa Rozari na Tasbihi ni kitu hichohicho.Sasa mkuu hilo lina uhusiano gani na hao watanzania wetu hapa kuzunguka na vibendera vyao kwenye magari yao na majumbani unakuta vime tundikwa? Kama sio religious madness ni nini?
lete ushahidi wa ulisemaloHuo ushoga..mbona hata kule ni sunna mzee au unaongelea ushoga gani?
#MaendeleoHayanaChama
Wala Sijapanic Ila Suala la Wayahudi Kuwachukia Wakristo cyo Kigezo Cha Wakristo nao Kuwachukia Wayahudi...Mbona Kama umepanic?Alio wake Mungu anawajua....Asante