Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Zaana zina buniwa mkuu, sio lazima ziandikwe kwenye bibulia, kuna sehemu yoyote imeandikiwa kutumia mic [emoji441] na speakers[emoji344] kanisani? Lakini sizinatumika kila mahala.
Kama unalijua Hilo Basi hata Suala la watu kutumia Bendera Ya Israel Usiwalaumu ...
Kwa Maana amekiri Mwenyewe kwamba Zana za I ada Zinabuniwa...
 
Sasa huyo ambaye ameweka kabendera ka Israel kama zana ya Imani yake kwa Mungu wa Israel ana tofauti gani na aliyeweka Rozali kama zana ya Imani yake ya kirumi?
Mkuu zana hutumika sio kuonyeshwa, wale wanao weka kibendera cha nchi huru yenye raisi wake na bunge lao, wakati na wewe una nchi yako na bunge lako chini ya speaker mpya Tulia, ni ujinga au limbukeni wa dini... kama una uzalendo kwanini usitundike bendera ya nchi yako
 
Wakristo wanamtegemea mungu wa israeli kuwalinda, waisraeli wanategemea majeshi na vifaa vyao vya kivita kuwalinda
Hizo akili na ubunifu wa kutengenza silaha za kujilinda zimetoka wapi..mana Israeli hajaanza leo kujilinda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu zana hutumika sio kuonyeshwa, pale wabapo weka kibendera cha nchi huru yenye raisi wake na bunge, wakati na wewe una nchi yako na bunge chini ya speaker mpya Tulia, ni ujinga au limbukeni wa dini.
Mkuu Kama ambavyo wewe unahesabu Rozari na Haijaandikwa kwenye Biblia ninlazima ukubali hata wengine wanaweza Kutumia Zana nyingine
Usijione kwamba wewe ndyoo uko sahihi Zaid.
 
Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..

Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..

Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
upo sahihi hujakosea
 
Modern israel state umeundwa na UN baada ya vita ya dunia ya pili, manzoni UN elipendekeza hilo taifa liunde Africa kwenye British East Africa colonies, kwa kuchukua sehemu ya uganda kasikazini na sehemu ya Kenya magharibi, ila uingereza ikakata kata kata, ndo maana wakaamishiwa maeneo ya Palestine na Jordan mwaka 1948
Ni sawa. Basi wewe unaelezea historia ya karibuni kabisa baada tu ya kuanzishwa UNO then UN.

Ila Israel ilishakuwa Taifa kwa miaka mingi sana nyuma. Ni miongoni mwa nchi za kale (Ancient countries) kama ilivyo kwa Persia, Egypt, Mesopotania n.k kabla hata ya Ugiriki (Uyunani) kuwepo. Ilikuwa na mipaka yake pamoja na uongozi wa enzi hizo, UNO na baadae UN zimekuja kuwepo baada ya nchi nyingi mpya kupata mipaka rasmi na kuachia makoloni.

Na hasa baada ya vita vya pili vya dunia ambapo USA ilipata nguvu sana na mamlaka ya kidunia.
 
Watanzania wanaamini Israel Ni Taifa teule, wanaamini Israel Ni wakristo,Ila Hawajui hao Israel hao Israel wanapinga huo ukristo...Maajabu
Aliyekwambia Hatujui kwamba Wayahudi Wanapingana na Ukristo Ni Nani....
Hata Biblia Inatuambia Hvyo...na Ile kwamba Mtu anakupinga haina Maana na wewe umchukie..
Ndyo maana Yesu akasema "Wapendeni wanaowaudhi"

Hata Waarabu Walituchukua Utumwa na Kutuua Waafrika Kikatili Sana Sana
Lakini Mpaka Leo Kuna Watu wanaenda Saudia Kuhiji.....Sembuse Wayahudi??
 
Mkuu Kama ambavyo wewe unahesabu Rozari na Haijaandikwa kwenye Biblia ninlazima ukubali hata wengine wanaweza Kutumia Zana nyingine
Usijione kwamba wewe ndyoo uko sahihi Zaid.
Mkuu bendera ya Taifa sio zana ya ibaada, labda kwa njia za ki shirkina uenda.
 
Aliyekwambia Hatujui kwamba Wayahudi Wanapingana na Ukristo Ni Nani....
Hata Biblia Inatuambia Hvyo...na Ile kwamba Mtu anakupinga haina Maana na wewe umchukie..
Ndyo maana Yesu akasema "Wapendeni wanaowaudhi"

Hata Waarabu Walituchukua Utumwa na Kutuua Waafrika Kikatili Sana Sana
Lakini Mpaka Leo Kuna Watu wanaenda Saudia Kuhiji.....Sembuse Wayahudi??
Mbona Kama umepanic?Alio wake Mungu anawajua....Asante
 
Mkuu bendera ya Taifa sio zana ya ibaada, labda kwa njia za kushirkina uenda.
Kwani Ni wapi Palipoandikwa Rozari Ni Zana ya Ibada..na kukataza Kwamba Bendera Haifai??
 
Ni sawa. Basi wewe unaelezea historia ya karibuni kabisa baada tu ya kuanzishwa UNO then UN.

Ila Israel ilishakuwa Taifa kwa miaka mingi sana nyuma. Ni miongoni mwa nchi za kale (Ancient countries) kama ilivyo kwa Persia, Egypt, Mesopotania n.k kabla hata ya Ugiriki (Uyunani) kuwepo. Ilikuwa na mipaka yake pamoja na uongozi wa enzi hizo, UNO na baadae UN zimekuja kuwepo baada ya nchi nyingi mpya kupata mipaka rasmi na kuachia makoloni.

Na hasa baada ya vita vya pili vya dunia ambapo USA ilipata nguvu sana na mamlaka ya kidunia.
Sasa mkuu hilo lina uhusiano gani na hao watanzania wetu hapa kuzunguka na vibendera vyao kwenye magari yao na majumbani unakuta vime tundikwa? Kama sio religious madness ni nini?
 
Mkuu zana hutumika sio kuonyeshwa, wale wanao weka kibendera cha nchi huru yenye raisi wake na bunge lao, wakati na wewe una nchi yako na bunge lako chini ya speaker mpya Tulia, ni ujinga au limbukeni wa dini... kama una uzalendo kwanini usitundike bendera ya nchi yako
Hivi kwani Rozali ni ya Tanzania? Una uhusiano nayo wowote? Asili yake sio Vatican/ Italy penye misingi ya Roman Catholic?

Hakuna utofauti wowote. Ungekuwa umetundika hirizi ya kutoka Tanga au Mtwara kwenye gari sawa...ila Rozari ni walewale wazungu.
 
Israel Taifa teule...

Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwamba huyo Mteule ana upendeleo

Sio kwamba napinga Imani yako ila napinga wale wanaojiona superior kuliko Imani nyingine wakati zote ni Imani..., Huu ndio mwanzo wa kutuletea shida sisi wengine wapenda Amani
 
Israel Taifa teule...

Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Mkuu si unajua US anavyo walinda hao jamaa, wao kama wao wasinge simama na maadui walio nao, nyuma yao kuna powerful nation , US

Ukisema wao tu mbona wameisha kuwa chini ya tawala nyingi na juzi juzi tu alikuwa Ottoman Empire
 
Sasa mkuu hilo lina uhusiano gani na hao watanzania wetu hapa kuzunguka na vibendera vyao kwenye magari yao na majumbani unakuta vime tundikwa? Kama sio religious madness ni nini?
Sawa, hata utundikaji wa Rozari na Tasbihi ni kitu hichohicho.

Kwani vina uhusiano gani na wewe Mgogo, Mmakonde au Mchaga- Mtanzania zaidi ya kuziamini kama hao wanaoamini vibendera?
 
Mbona Kama umepanic?Alio wake Mungu anawajua....Asante
Wala Sijapanic Ila Suala la Wayahudi Kuwachukia Wakristo cyo Kigezo Cha Wakristo nao Kuwachukia Wayahudi...
Huko Saudia Kuna Dada zetu wengi Sana wanatumikishwa Kikatili Kazi za Ndani Mpaka Leo lakini Bado Tunawaheshimu Waarabu na waTZ wanaenda Kuhiji Saudia
 
Back
Top Bottom