inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Qur'an inasema sijda ni athari ya kusujudu,hao waarabu wa hizo nchi zote za arabuni uliowaona(hongera kwa kufika nchi zote hizo na kuwaona wote) ambao hawana sijida itakuwa hawaswaliNaomba unijibu kuhusu suala la SIJDA, mbona waarabu wa Saudi Arabia, Yemen, Qatar, Egypt na kwingineko wanaswali lakini hawana sijda kama walizonazo Wabongo?
Kumshirkisha Mungu na vitu vingine wakati wa ibaadaUshirikina ni nini?
Walikua wakitangatanga tu duniani,hata hapo Makkah na Madina mtume aliishi naoNahisi siwezi hata kujadiliana nawewe katika hili kwasababu unaonekana hujui chochote kuhusiana na historia ya nchi hizi.
Quran na vitabu ya hadithi za Mtume zinabainisha kuwa Wayahudi walikuwa katika Taifa lipi enzi za Mtume Muhammad (S.A.W)
Kama rozali ni zana ya ibada ya mungu wake Basi hamshirikishi mungu wake na vingineKumshirkisha Mungu na vitu vingine wakati wa ibaada
Maadamu Biblia Haijaandika hizo sababu za Yuda kutokuingia Peponi Basi Na Mimi Sina Cha KukuambiaToa sababu tano kwanini yuda hakuingia peponi, wakati yeye ndo alifanikisha mpango mzima wa Yesu
Sasa hapo ndo ugundue kwamba stori ya Yesu ya kusulumbiwa ni ya kubuni tu, haina uhalisia wowote..........sema tu sie wa Africa ndotulivo kufuata kila storiMaadamu Biblia Haijaandika hizo sababu za Yuda kutokuingia Peponi Basi Na Mimi Sina Cha Kukuambia
Ila Suala la kwamba Kifo Cha Yesu Ni mpango wa Mungu Hilo Nina Uhakika nalo kwa maana limeandikwa.. katika
Marko 8:31 Akaanza kuwafundisha kwamba imempasa Mwana wa Adamu kupatikana na mateso mengi, na kukataliwa na wazee, na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na baada ya siku tatu kufufuka.
32 Naye alikuwa akinena neno hilo waziwazi. Petro akamchukua, akaanza kumkemea.
33 Akageuka, akawatazama wanafunzi wake, akamkemea Petro, akasema, Nenda nyuma yangu, Shetani; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu
Hilo tu mkuu!Israel Taifa teule...
Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umesema kwamba wewe Ni Mkatoliki Je Ukatoliki alianzisha Nani? Je na Wenyewe Ni wa kubuni Hauna uhalisia Wowote?Sasa hapo ndo ugundua kwamba stori ya Yesu ya kusulumbiwa ni ya kubuni tu, haina uhalisia wowote..........sema tu sie wa Africa ndotulivo kufuata kila stori
Upagani wa kirumi,ibada gani kula na kunywa humohumo!!?Umesema kwamba wewe Ni Mkatoliki Je Ukatoliki alianzisha Nani? Je na Wenyewe Ni wa kubuni Hauna uhalisia Wowote?
Basi watanzania tuna upendo wa mshumaa.....kwa nini tusiweke bendera zetu?kwa nini tunaweka bendera zao?je wao wanaweka bendera zetu?Tujitambue jamaniWala Sijapanic Ila Suala la Wayahudi Kuwachukia Wakristo cyo Kigezo Cha Wakristo nao Kuwachukia Wayahudi...
Huko Saudia Kuna Dada zetu wengi Sana wanatumikishwa Kikatili Kazi za Ndani Mpaka Leo lakini Bado Tunawaheshimu Waarabu na waTZ wanaenda Kuhiji Saudia
Maadamu Sheria Za Nchi Yetu hazijakataza Basi siyo KosaBasi watanzania tuna upendo wa mshumaa.....kwa nini tusiweke bendera zetu?kwa nini tunaweka bendera zao?je wao wanaweka bendera zetu?Tujitambue jamani
mawazo yako yana make sense Ila ni ya kishamba sana.That's a problem.
Israel hii yenye ufirauni wa hatari wakristo sisi tunaliona ni Taifa teule na nyumbani kwa wakristo wote..
Una uhakika wa Israel wanapinga ukristo? Kwa sababu zipi? Kwani usipokuwa mwislam maana yake unapinga uislam?Wengi wao ni religious fanatics hususana new born again Christians..........wakati wa Usrael wana pinga ukuristu!!!! Africa is a continent of confused fellows
Unajua kwanini Yesu alisulumbiwa na Mayahudi? Unajua kwanini yesu kwa umri wa miaka 33, alikimbia wa ya hudi?.........ukijibu hayo ndo utajua kama Mayahudi wanapenda ukoristo au laaUna uhakika wa Israel wanapinga ukristo? Kwa sababu zipi? Kwani usipokuwa mwislam maana yake unapinga uislam?
Ni Vyema tukiendelea kujifariji kwa sentensi hii...Maadamu Sheria Za Nchi Yetu hazijakataza Basi siyo Kosa
Hujaninibu swali langu nililokuuliza Kuhusu Ukatoliki..Unajua kwanini Yesu alisulumbiwa na Mayahudi? Unajua kwanini yesu kwa umri wa miaka 33, alikimbia wa ya hudi?.........ukijibu hayo ndo utajua kama Mayahudi wanapenda ukoristo au laa
Ndio wanapinga ukristo,wanadai messiah bado hajazialiwa,huyu aliyesulubiw sio Yule aliyetabiriwa,wao wanangoja Messiah wa kweliUna uhakika wa Israel wanapinga ukristo? Kwa sababu zipi? Kwani usipokuwa mwislam maana yake unapinga uislam?
Mara paap, Tanzania ndio nchi ya ahadi walioahidiwa mababu wa israel.
Tutapoteza wengi sana pakitokea vita kati ya Tanzania na Israeli.
Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..
Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..
Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?