GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Inasikitisha Sana kwa kweli...
 
Mbona hatuoni kuanguka hapo,hao ni messenger sio kosa lao hata kama hawapendi watakufa njaa
 
Safi sana wangekua wanamkong’ota hata kidogo mwana mtoka pabaya huyo
 
Wekeni details zake huyo, anaishi wapi, watoto wanasoma wapi na mke ni nani, watu watafanya yao.
 
Sikiliza wewe chawa wa Mama Abdul, Magufuli ndio alikuwa na laana. Alikufa kifo Cha aibu hata watoto wake hawakujua amekufa walipata taarifa kwa Millard Ayo.
Usijifananishe na ww ht ukiumwa mafua mende ndani kwako wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…