Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali".
Anayazungumza haya akiwa na Uniform za CCM, Kwa Hali kama hii inaleta sintofahamu kubwa Kwa nchi huru, tunajua mnafanya ujinga mwingi but please, msijitokeze hadharani kuendelea kutudhihaki.
Maybe, one day tutayalipa haya, Inshallah. Happy Sabbath.