Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

Sasa ikiwa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bw Mbowe anakiri na kuona ufahari kugharamiwa safari yake ya nje ya nchi na Serikali,
then hayo ya huyó dereva mbona ni tone kwenye bahari tu..!!

Ya Mbowe umepiga kimya, ila ya dereva ndio unakuja kupayuka

Hii nchi tatizo si watawala bali watawaliwa wenye akili dizaini kama yako
fake news kumbe ilinasa wapumbavu wengi hivi
 
Ungempa sifa sizizostahili ningekupinga sana. Mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Mfumo wa uongozi wa sasa hivi ni zama nyingine kabisa. Hata kama Nyerere alikosea, bado muda uliopita tangu aondoke ni mrefu na tungeweza kabisa kufanya marekebisho. Kwa nini hatufanyi na badala yake tunalaumu yaliyopita? Kuna taifa kama Israel lilipitia kipindi kigumu sana lakini wameweza kusisimama tena imara.
Siyo kweli. Kuna watu walimpinga Nyerere zama zile akawaharibia maisha yao. Mfano mzuri ni Kambona aliyepinga mfumo alioujenga Nyerere akakimbia nchi yake.

 
Siyo kweli. Kuna watu walimpinga Nyerere zama zile akawaharibia maisha yao. Mfano mzuri ni Kambona aliyepinga mfumo alioujenga Nyerere akakimbia nchi yake.


Siyo kweli nini? Kwamba tangu Nyerere aondoke ni muda mrefu na hata kama aliharibu kama unavyosema basi tungeweza kurekebisha makosa yake kama tungekuwa na bidii?
 
Siyo kweli nini? Kwamba tangu Nyerere aondoke ni muda mrefu na hata kama aliharibu kama unavyosema basi tungeweza kurekebisha makosa yake kama tungekuwa na bidii?
Siyo kweli mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Kuna waliompinga.
 
Siyo kweli mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Kuna waliompinga.
Sikusema kuwa hakupingwa. Hata nchi zilizokuwa na vyama vingi kulikuwa na wapinzani wake. Nimeuliza: Tangu aondoke ni muda mrefu! Nini kimefanya tushindwe kurekebisha alipoharabu?
 
Wakati Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani Bungeni, alipewa gari na Serikali, na alikuwa anaenda nalo kwenye mikutano ya chadema

Hilo lilikuwa gari la kisheria, Yani kiongozi wa kambi rasmi bungeni. Alikuwa na gari lake.
 
Sijui JF waliweka mfumo wa fact check kwaajili gani. Mtu anaongea uongo anaachwa tu. Mmetunga uongo mlazimisha iwe kweli. Kuna using was hivyo ulifutwa wewe Bado unakazania. Tuache kuleta uongo ili kuhalalisha uharamu wa CCM .

Sasa ikiwa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bw Mbowe anakiri na kuona ufahari kugharamiwa safari yake ya nje ya nchi na Serikali,
then hayo ya huyó dereva mbona ni tone kwenye bahari tu..!!

Ya Mbowe umepiga kimya, ila ya dereva ndio unakuja kupayuka

Hii nchi tatizo si watawala bali watawaliwa wenye akili dizaini kama yako
Punguza
 
Kwani Nyerere unamwona yeye nani hadi asifanye hayo makosa,chanzo cha yote yanayotokea hivi sasa ni matunda ya huyo unayemwona ni malaika.

Kwa hivyo sisi ni wajinga tumekaa miaka 22 tangu kifo Cha Nyerere bila kufanya mabadiliko?. Inabidi tukae chini tujisahihishe.
 
S
Ningempa sifa huyo Nyerere ungesema nisimpe kwa sababu ameshakufa? Kama anastahili kupewa sifa atapewa na kama anastahili lawama pia atapewa. Mfumo mbovu aliujenga yeye.
[/QUOTES]

Mbona Nyerere kaondoka miaka 22 iliyopita Bado mnaishi kwenye fikra zake?. Hamtaki kutoka?.
 
Wewe ndie kielelezo cha ujinga na upumbavu

Ya papa unayaacha unakazana na vidagaa

Unachukua quote ya uongo unalazimisha iwe kweli?. Mkiambiwa leteni clip Mbowe akisema hivyo mnakimbia. Mnafuata Mbowe baadala ya Samiah. Kweli CCM mmechanganyikiwa.
 
Maoni gani, ya kuvaa sare za CCM na kumsifia mwenyekiti wa CCM kwenye gari la umma?. Ndio maana serikali imekopa Deni la Trilioni 91 na Hapo hapo inawatoza Kodi. Maana akili sisi wananchi hatuna. Ngoja wapige pesa wajinga watalipa.
 
Hayo ni maoni yake na ni haki yake kusifia au kusifiwa, hajamtuka mtu wala kudhalilisha taasisi. Tujifunze kuwa na akili kubwa

Lengo la mleta mada ni kuleta discussion je ni halali kutumia Mali za serikali kwenye mambo ya Chama Cha CCM ? Nadhani hujamuelewa.
 
Watakuelewa wenye akili tu mabumunda wao kazi yao nikulaumu historia.Kuna wale wengine badala ya kukemea anapoona ujinga kazi kusema "angekuwepo magufuli".Yaani hii nchi watu wake hatujielewi kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom