Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Nyerere Tena? Huu ni ujinga tu wa CCMHaya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
But a short time to live! James Hadley ChaseCcm ndio wamiliki wa Tanzania,acha wafanye wanachokitaka.
Nyerere Tena? Huu ni ujinga tu wa CCM
Nimeandika haya na wewe andika kuhusu Mbowe, usiwe mjingaSasa ikiwa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bw Mbowe anakiri na kuona ufahari kugharamiwa safari yake ya nje ya nchi na Serikali,
then hayo ya huyó dereva mbona ni tone kwenye bahari tu..!!
Ya Mbowe umepiga kimya, ila ya dereva ndio unakuja kupayuka
Hii nchi tatizo si watawala bali watawaliwa wenye akili dizaini kama yako
Kwakua huna akili ndio maana unaandika huu ujinga, either Kwa kupenda au kwa kulazimika! AnywayWakati Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani Bungeni, alipewa gari na Serikali, na alikuwa anaenda nalo kwenye mikutano ya chadema
Nimeandika haya na wewe andika kuhusu Mbowe, usiwe mjinga
👌Kwakua huna akili ndio maana unaandika huu ujinga, either Kwa kupenda au kwa kulazimika! Anyway
Kwa kuwa wewe ni mpumbavu ndio maana umeandika matakataka hayoKwakua huna akili ndio maana unaandika huu ujinga, either Kwa kupenda au kwa kulazimika! Anyway
Haya ni matokeo ya wapinzani kuiita serikali ya CCM. Mara utasikia wanasema policcm. Matokeo yake sasa wanafanya kwa vitendo vile mnavyowasema.Mali ya serikali inatumiwa na chama au mie ndio sjaelewa
Sibishani na MBWA, I am sorry hebu tafuta wa kubishana nae tafadhaliKwa kuwa wewe ni mpumbavu ndio maana umeandika matakataka hayo
Kichwani umejaza matope na kimbaSibishani na MBWA, I am sorry hebu tafuta wa kubishana nae tafadhali
I am done with you, hii ndio post ya Mwisho kuisoma. Mimi sio wa level yakoKichwani umejaza matope na kimba