Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Huu ni ujinga wa hali ya juu. Unamlaumu Nyerere aliyefariki miaka mingi iliyopita? Kwanza ujue wakati wa Nyerere hakukuwa na ujinga wa namna hii. Yaani kipindi cha Nyerere kiongozi au mfanyakazi wa serikali awatambie wananchi eti anatumia vitu vya gharama? Tatizo ni wananchi wa Tanzania ambao wengi wana mawazo ya kupenda vya kuletewa kama wewe. Umekaa kibarazani ukisubiri watawala wakuletee mfumo mzuri! Kwa taarifa yako: nchi zote unazoziona zenye mifumo mizuri, hiyo mifumo haikujileta yenyewe. Na wala siyo watawala waliyoileta. Ni wananchi walikuwa wakali na kuungana kuondoa mifumo mibaya.
 
Wakati Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani Bungeni, alipewa gari na Serikali, na alikuwa anaenda nalo kwenye mikutano ya chadema
Huu upumbavu wa akili kama wako ndiyo unafanya watanzania wanzidi kuangamia. Ina maana akikosea Mbowe basi ni halali kila mtu kukosea? Unachosema hapa ni kuwa kwa kuwa Mbowe alikosea basi kila ana haki ya kufanya makosa! Idiot!
 
yale mapumbavu ya ccm etwege,mwashambwa and co. yaje tena hapa
 
Nyerere Tena? Huu ni ujinga tu wa CCM
Kwani Nyerere unamwona yeye nani hadi asifanye hayo makosa,chanzo cha yote yanayotokea hivi sasa ni matunda ya huyo unayemwona ni malaika.
 

Ningempa sifa huyo Nyerere ungesema nisimpe kwa sababu ameshakufa? Kama anastahili kupewa sifa atapewa na kama anastahili lawama pia atapewa. Mfumo mbovu aliujenga yeye.
 
Nimeandika haya na wewe andika kuhusu Mbowe, usiwe mjinga

Wewe ndie kielelezo cha ujinga na upumbavu

Ya papa unayaacha unakazana na vidagaa
 
Mbowe kagharimiwa safari na nani? Unaweza weka source ya hiyo habari? Huo upuuzi mnao CCM wa kutumia Mali za umma kwa shughuli za chama.
 
Hayo ni maoni yake na ni haki yake kusifia au kusifiwa, hajamtuka mtu wala kudhalilisha taasisi. Tujifunze kuwa na akili kubwa
 
Huu ni wivu wa kifala hizo ni Tambo za kawaida za kimtandao yeye analeta huku wakati hata hajamtuka mtu wala kukebehi mtu
 
Wewe ndie kielelezo cha ujinga na upumbavu

Ya papa unayaacha unakazana na vidagaa
Akili kama hizi za watoto kama nyie ndio mtaendelea kukamuliwa na wajinga. Sibishani na watoto
 
Huu ni wivu wa kifala hizo ni Tambo za kawaida za kimtandao yeye analeta huku wakati hata hajamtuka mtu wala kukebehi mtu
Tambo za kawaida za kimtandao? Uko na shida kichwani
 
Ningempa sifa huyo Nyerere ungesema nisimpe kwa sababu ameshakufa? Kama anastahili kupewa sifa atapewa na kama anastahili lawama pia atapewa. Mfumo mbovu aliujenga yeye.
Ungempa sifa sizizostahili ningekupinga sana. Mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Mfumo wa uongozi wa sasa hivi ni zama nyingine kabisa. Hata kama Nyerere alikosea, bado muda uliopita tangu aondoke ni mrefu na tungeweza kabisa kufanya marekebisho. Kwa nini hatufanyi na badala yake tunalaumu yaliyopita? Kuna taifa kama Israel lilipitia kipindi kigumu sana lakini wameweza kusisimama tena imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…