Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,719
fake news kumbe ilinasa wapumbavu wengi hiviSasa ikiwa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bw Mbowe anakiri na kuona ufahari kugharamiwa safari yake ya nje ya nchi na Serikali,
then hayo ya huyó dereva mbona ni tone kwenye bahari tu..!!
Ya Mbowe umepiga kimya, ila ya dereva ndio unakuja kupayuka
Hii nchi tatizo si watawala bali watawaliwa wenye akili dizaini kama yako
mpumbavu ni wewe na mamayako huko ccm pamoja na huyo punga anayedai kaheshimishwa.Kwa kuwa wewe ni mpumbavu ndio maana umeandika matakataka hayo
kwa hio huyo mpumbavu kama wewe ni kiongoz wa upinzan bungenWakati Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani Bungeni, alipewa gari na Serikali, na alikuwa anaenda nalo kwenye mikutano ya chadema
Siyo kweli. Kuna watu walimpinga Nyerere zama zile akawaharibia maisha yao. Mfano mzuri ni Kambona aliyepinga mfumo alioujenga Nyerere akakimbia nchi yake.Ungempa sifa sizizostahili ningekupinga sana. Mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Mfumo wa uongozi wa sasa hivi ni zama nyingine kabisa. Hata kama Nyerere alikosea, bado muda uliopita tangu aondoke ni mrefu na tungeweza kabisa kufanya marekebisho. Kwa nini hatufanyi na badala yake tunalaumu yaliyopita? Kuna taifa kama Israel lilipitia kipindi kigumu sana lakini wameweza kusisimama tena imara.
Siyo kweli nini? Kwamba tangu Nyerere aondoke ni muda mrefu na hata kama aliharibu kama unavyosema basi tungeweza kurekebisha makosa yake kama tungekuwa na bidii?Siyo kweli. Kuna watu walimpinga Nyerere zama zile akawaharibia maisha yao. Mfano mzuri ni Kambona aliyepinga mfumo alioujenga Nyerere akakimbia nchi yake.
Siyo kweli mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Kuna waliompinga.Siyo kweli nini? Kwamba tangu Nyerere aondoke ni muda mrefu na hata kama aliharibu kama unavyosema basi tungeweza kurekebisha makosa yake kama tungekuwa na bidii?
Sikusema kuwa hakupingwa. Hata nchi zilizokuwa na vyama vingi kulikuwa na wapinzani wake. Nimeuliza: Tangu aondoke ni muda mrefu! Nini kimefanya tushindwe kurekebisha alipoharabu?Siyo kweli mfumo wa uongozi wa enzi za Nyerere uliendana na zama zile. Kuna waliompinga.
Wakati Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani Bungeni, alipewa gari na Serikali, na alikuwa anaenda nalo kwenye mikutano ya chadema
Wakati Mbowe akiwa kiongozi wa upinzani Bungeni, alipewa gari na Serikali, na alikuwa anaenda nalo kwenye mikutano ya chadema
PunguzaSasa ikiwa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bw Mbowe anakiri na kuona ufahari kugharamiwa safari yake ya nje ya nchi na Serikali,
then hayo ya huyó dereva mbona ni tone kwenye bahari tu..!!
Ya Mbowe umepiga kimya, ila ya dereva ndio unakuja kupayuka
Hii nchi tatizo si watawala bali watawaliwa wenye akili dizaini kama yako
Haya ni matokeo ya wapinzani kuiita serikali ya CCM. Mara utasikia wanasema policcm. Matokeo yake sasa wanafanya kwa vitendo vile mnavyowasema.
Kwani Nyerere unamwona yeye nani hadi asifanye hayo makosa,chanzo cha yote yanayotokea hivi sasa ni matunda ya huyo unayemwona ni malaika.
Ningempa sifa huyo Nyerere ungesema nisimpe kwa sababu ameshakufa? Kama anastahili kupewa sifa atapewa na kama anastahili lawama pia atapewa. Mfumo mbovu aliujenga yeye.
[/QUOTES]
Mbona Nyerere kaondoka miaka 22 iliyopita Bado mnaishi kwenye fikra zake?. Hamtaki kutoka?.
Wewe ndie kielelezo cha ujinga na upumbavu
Ya papa unayaacha unakazana na vidagaa
Hayo ni maoni yake na ni haki yake kusifia au kusifiwa, hajamtuka mtu wala kudhalilisha taasisi. Tujifunze kuwa na akili kubwa
Umeshaliwa bogampumbavu ni wewe na mamayako huko ccm pamoja na huyo punga anayedai kaheshimishwa.
Haya nenda kadangeI am done with you, hii ndio post ya Mwisho kuisoma. Mimi sio wa level yako
Picha uliyoweka Kwa DP umetinda nyusi nikaamua nisikujibu kituWewe ndie kielelezo cha ujinga na upumbavu
Ya papa unayaacha unakazana na vidagaa