Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

Watakuelewa wenye akili tu mabumunda wao kazi yao nikulaumu historia.Kuna wale wengine badala ya kukemea anapoona ujinga kazi kusema "angekuwepo magufuli".Yaani hii nchi watu wake hatujielewi kwa kiwango kikubwa.
Shukrani
 
MBONA HATA VIKAO VYA CHAMA CHAO WANAFANYIA IKULU WAKATI IKULU NI YA SERIKALI
 
Halafu mbona hicho kijamaa kinaonekana kishamba sana?

Yaani kuvaa travolta ambayo pia ni fake kinaona ndio kimemaliza kila kitu?
 
Tunafanya mzaha na suala la afya ya akili, ipo siku watu watafanya vituko jukwaani alipo No, 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…