Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Huu ni udhalilishaji mkubwa hata wew ULIE post....it's not fair..

Msimamo wangu siungi mkono ushoga

Kwanini Hilo jambo lingepelekwa Kwa viongozi wake kisha likamalizwa huko...sio uungwana kulifedhehesha jeshi
Napendekeza huu Uzi ufutwe sijui kwann haujafutwa mpk muda huu...
 
Kama taifa tuwe na muongozo mpya wa maadili kuanzia malezi ya watoto wetu wakiwa wadogo, miongozo ya elimu, niliwahi kukutana na watoto Mkoa wa mara waliyonihadithia yanatisha wanaanza kufundishwa wakiwa wadogo kabisa lazima jamii sasa ione shida ni kubwa kuliko kishabikia
 
We unajitambua au umeandika kwa huruma gani. We utakuwa unasapoti ushoga au we ndo single mother kudekeza vitoto vyenu mwisho kupakatwa na mauncle. Hakuna anayekudharirisha wew mwenyewe ukitenda uovu utaonekana tu. Malipo hapa duniani. Unafichaje maovu
 
Hivi mnaanzanje kuangalia hizo connection za kifirauni?? Mi siwezi aisee sina moyo huo..Mungu atusaidie...macho ndo mlango wa vitu vyote vibaya..kwanini tusipinge hizi video kusambaa? Maana toka zianzwe kurushwa naona ndo zinazidi na watu mnaangalia tuu..hamuoni kwamba zinawapelekea na nyie kwny ushetani?
 
Kweli Kabisa,tumlilie Mungu atunusuru na janga hili.
 
Wamerekodi ili waweze kueneza haya mambo hao ni mashetani wapo kazini...kupitia hizi video naamini Taifa litakwenda kuharibika kabisaa...nachosema hapa zisizidi kusambaa ziwe zinafungwa kuepusha madhaara zaidi..
Zinafungwa na nani! sasa tatizo ni moja labda wafunge mitandao kwa muda . Ni kweli video kuendelea kusambaa ni athari kubwa ila hii uja pale mtu anapotaka ushahidi tambua watu usema me sikubali siyo yey mtu ujikuta unamtumia ili amini. Na kusambaza video sio kwa lengo baya ni kukufungua akili wewe mkanye mwanao acha kulea watoto kama mayai.
 
Mbona nyie Mtu wa imani Nyingine akifanya makosa mnatukana Dini yote?,Tulia sindano za moto ziwaingie Vizuri,tena tulia km maji mtungini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…