mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Jerry wa juzi bro, huezi mfananisha na makonda ambaye ametamba miaka kadhaa serikalini.
kwa kifupi, kama jamaa ana hoja zenye mashiko kisheria, hana lolote la kumfanya, kwasababu ataenda tu Mahakamani kwisha, waziri hayupo juu ya sheria ndio maana Mahakama ikawepo. Hata Rais hawezi kushindana na Mahakama nje ya Mahakama. hoja yangu kuu ilikuwa, mbona wanalalia zaidi upande mmoja bila kumsikiliza huyo wanayesema ni tapeli, na mbona yeye ameeleza kwa facts na evidence na hasikilizwi?Kwani ni wewe ndiyo Valence Matunda? Mumezoea vya kunyonga. Subiri muziki wa Jerry Silaa
ndugu, mimi sio dhulumati, na sipo karibu na majaji, ila ni mwanasheria, huwa napenda utawala wa sheria kwasababu tumeziweka sisi wenyewe na huwa napenda kusikilizap ande zote mbili kabla ya kuhukumu. Mahakama zipo, hakuna amri ya waziri iliyo juu ya amri ya Mahakama. usije kujidanganya. hii ndio imesababisha watu badala ya kukosa hoja mtaani huwa wanaenda kushitaki kwa waziri bila kujua waziri hayupo juu ya Mahakama. na kesho tu huyo unayeamini ni waziri hatakuwa waziri. ila Mahakama ipo.Wewe jamaa hauko mbali na mfumo kandamizi. Wewe kama siyo dhulumat wa viwanja basi uko karibu na majaji
Tanzania ni nchi ya hovyo sana. Viongozi nao wanalalamika kama wananchi.Huku kijijini kwetu baadhi ya watu ninao wajua washaanza na mimi naenda kutafuta kiwanja changu nikienda mjini. Sasa hivi wizara ina yule kijana (jina lake awamjui) anafanya kazi sana amuonei mtu.
Piga kazi Jerry, shida ya watanzania sasa kipindi hiki kuna waziri anaesaidia kuna watu wamelala. Siku akitolewa hapo utasikia kuna raia wanalalamika wana migogoro ya ardhi toka 2010 aina suluhisho. Wanafanya nini kipindi hiki kuna waziri wa kupigania haki zao wanajua wenyewe.
Ngoja tuone ‘Jerry Silaa’ si kasema hapo yeye kainunua hiyo kesi awezi fumbia macho utapeli na kupokwa haki za watu akiwa ardhi.Tanzania ni nchi ya hovyo sana. Viongozi nao wanalalamika kama wananchi.
Hapo nani wa kuchukua hatua ili hayo yote yaishe?
Utasikia raisi naye analalamika kuna viongozi wanakula rushwa.
Sahihi.Ngoja tuone ‘Jerry Silaa’ si kasema hapo yeye kainunua hiyo kesi awezi fumbia macho utapeli na kupokwa haki za watu akiwa ardhi.
Ataenda nayo mpaka ‘tume ya watumishi wa mahakama’ supervisory body ya judges kum-report huyu corrupt judge na yeye kasoma sheria pia.
Ulitegemea baada ya waziri (mtu mkubwa kwenye nchi) kuongea vile bungeni judge mkuu angekuwa keshatoa kauli, kufuatilia hiyo kesi maana taasisi anayosimamia kushutumia kutumika kupoka haki za watu sio accusations ndogo, ndio kwanza habari hana.
Kwa haya malalamiko ya utendaji wa mahakama sio kwa Silaa tu ata kwenye mikutano ya viongozi wengine na wananchi kinachoendelea huko it’s fair to say judge mkuu ni muda wa kupumzishwa na kuletwa mwingine atakaeweza kwenda na mwamko wa Tanzania kwenye kudai haki zao pamoja na kuwarahisishia kazi wale wanaowapigania.
Majaji wa dikteta jiwe haoMajaji nani anawateua? Wanateuliwa kwa vigezo gani? Kusikia haya madudu kunatia unajisi mahakama
Ungemroga tu mkuuWacha auingilie tu huu mhimili maana umepoteza credibility. Kuna Jaji mwanamke anaitwa Leila Mgonya aliharibu kesi yangu sababu ya rushwa
Nchi hii ni ngumu sana.kwa kifupi, kama jamaa ana hoja zenye mashiko kisheria, hana lolote la kumfanya, kwasababu ataenda tu Mahakamani kwisha, waziri hayupo juu ya sheria ndio maana Mahakama ikawepo. Hata Rais hawezi kushindana na Mahakama nje ya Mahakama. hoja yangu kuu ilikuwa, mbona wanalalia zaidi upande mmoja bila kumsikiliza huyo wanayesema ni tapeli, na mbona yeye ameeleza kwa facts na evidence na hasikilizwi?
Kila mmoja anatakiwa kufanya kazi kwa haki, haki haina chama tena usikute wanaodhulumika wengi wao ni wana CCM masikini.Nchi yetu tuna mifumo ila haifanyi kazi, na ndiyo maana kina makonda wanajizolea pointi 3 kila kukicha kutatua migogooro ambayo ki uhakisia haitakiwi iwepo.
Yaani mkandalasi anafanya kazi ya Halmashauri anamaliza afu miaka 07 hajalipwa, kichekesho.
CCM ishajichokea kila kona.
Bora kujaribu mabadiliko kuliko kumwacha mtu ambae anaonekana hajali kabisa.Sahihi.
Lakini atakaemteua huyo mwingine ni Mfumo huo huo uliomteua huyu aliyepo, tutaipata tofauti kweli?
Ama ndio Garbage out, same Garbage in.
Hapo tayari Jerry Slaa ameshafeli. Tanzania tuna viongozi na taasisi ambazo hazina msaada kabisa. PCCB (Taasisi ya kuzuia rushwa Tanzania) ishakufaNgoja tuone ‘Jerry Silaa’ si kasema hapo yeye kainunua hiyo kesi awezi fumbia macho utapeli na kupokwa haki za watu akiwa ardhi.
Ataenda nayo mpaka ‘tume ya watumishi wa mahakama’ supervisory body ya judges kum-report huyu corrupt judge na yeye kasoma sheria pia.
Ulitegemea baada ya waziri (mtu mkubwa kwenye nchi) kuongea vile bungeni judge mkuu angekuwa keshatoa kauli, kufuatilia hiyo kesi maana taasisi anayosimamia kushutumia kutumika kupoka haki za watu sio accusations ndogo, ndio kwanza habari hana.
Kwa haya malalamiko ya utendaji wa mahakama sio kwa Silaa tu ata kwenye mikutano ya viongozi wengine na wananchi kinachoendelea huko it’s fair to say judge mkuu ni muda wa kupumzishwa na kuletwa mwingine atakaeweza kwenda na mwamko wa Tanzania kwenye kudai haki zao pamoja na kuwarahisishia kazi wale wanaowapigania.
😆😆 kwa Tanzania lolote linawezekana wakati wowote.Shida siasa, hujui yupi mkweli, na yupi mwongo. Unaweza shangaa katunga story tu.
Jerry Silaa kama waziri ana option nyingi yeye kalipeleka swala kwa wasimamizi wa shughuli za mahakama.Hapo tayari Jerry Slaa ameshafeli. Tanzania tuna viongozi na taasisi ambazo hazina msaada kabisa. PCCB (Taasisi ya kuzuia rushwa Tanzania) ishakufa
Angekuwa mwananchi wa kawaida, angekuwa amepiga simu siku nyingi polisi na ameshaweka gerezani ila kwa vile ni viongozi wa rushwa wote na wapiga zumari utasikia mkaliangalie na hili.
Tanzania ni nchi pekee ambapo viongozi wake hawako serious
tuseme basi, huyo jaji alishawahi kuattast huo mkataba akiwa wakili wa kujitegemea, na sasaivi jalada likaja kwake akaendelea. ni kweli hapo alikuwa na conflict of interest. pia, kama kweli anawaita mawakili wa serikali na kuwatishia, kama kweli wana ushahidi. unafikiri kwa hili tu linatosha kumuundia tume hadi kumuondoa ujaji?Jerry Silaa kama waziri ana option nyingi yeye kalipeleka swala kwa wasimamizi wa shughuli za mahakama.
Atujajua nini kitajiri huko kuanza na ‘prophecies of doom’ huko ndio kukatisha tamaa; yeye ndio anajua moves zake za kisheria hadi kulipeleka kwa pilato mwenyewe (bi-tozo) anakutana nae kwenye vikao vyao vya baraza la mawaziri na kuweza kumshauri mahakama zimeoza kwa sasa kunaitajika mabadiliko.
So sio sahihi ku-speculate future wakati hatuna plan yote ya waziri kuhakikisha haki inapatakana.
Hilo la kupeleka bungeni ni kutafuta sifa na kushindwa mapema.Jerry Silaa kama waziri ana option nyingi yeye kalipeleka swala kwa wasimamizi wa shughuli za mahakama.
Atujajua nini kitajiri huko kuanza na ‘prophecies of doom’ huko ndio kukatisha tamaa; yeye ndio anajua moves zake za kisheria hadi kulipeleka kwa pilato mwenyewe (bi-tozo) anakutana nae kwenye vikao vyao vya baraza la mawaziri na kuweza kumshauri mahakama zimeoza kwa sasa kunaitajika mabadiliko.
So sio sahihi ku-speculate future wakati hatuna plan yote ya waziri kuhakikisha haki inapatakana.
manake ameshindwa kwenye evidence na mchakato wa nje, ameona akimbilie bungeni ili mhimili mmoja utuhumu mhimili mwingine. pia, anaharibu kesi sasa manake kama ameshatuhumu na yeye ni waziri, watakaochunguza watakuwa huru kiasi gani?Hilo la kupeleka bungeni ni kutafuta sifa na kushindwa mapema.
Kama waziri ana mamlaka makubwa, ushahidi ungekusanywa mapema na tayari huyo jaji na tapeli tayari wangekuwa selo kusubiria kupelekwa mahakamani kusomewa mashitaka.
Sanasana ameonyesha anaheshimu taratibu za sheria na kufuata due process kuliko kutumia nguvu zake vibaya.Hilo la kupeleka bungeni ni kutafuta sifa na kushindwa mapema.
Kama waziri ana mamlaka makubwa, ushahidi ungekusanywa mapema na tayari huyo jaji na tapeli tayari wangekuwa selo kusubiria kupelekwa mahakamani kusomewa mashitaka.
Issue ni kwamba nyaraka za ardhi mali ya mtu mwingine zimebadilishwa, zimebadilishwa bila ya ridhaa ya mwenyewe hiyo tayari ni fraudulent act.tuseme basi, huyo jaji alishawahi kuattast huo mkataba akiwa wakili wa kujitegemea, na sasaivi jalada likaja kwake akaendelea. ni kweli hapo alikuwa na conflict of interest. pia, kama kweli anawaita mawakili wa serikali na kuwatishia, kama kweli wana ushahidi. unafikiri kwa hili tu linatosha kumuundia tume hadi kumuondoa ujaji?