mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Jerry wa juzi bro, huezi mfananisha na makonda ambaye ametamba miaka kadhaa serikalini.
Elimu, ufahamu, Exposure, Uzoefu
Kipindi cha Kikwete Jerry amewahi kuhudumu Sekretarieti ya Kamati Kuu ya muunganiko wa Tanganyika African National Union na Afro Shirazi Party..
Jerry ana mapungufu ya kibinadamu ila anajua kwa nini anafanya anachofanya..Anajua anakotaka kwenda..Utaratibu na hekima ya kufika..