Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
upo sahihi dear na siku hizi smart phone hizi watu wanapigana alafu video zinarushwa kesho yake kuanza kuona aibuSame applies to men, nimezaliwa sipendi hulka za ugomvi. Kukiwa na marumbano nakaa umbali mita zaidi ya mia, maisha ni zaidi ya kuchukiana, kugombana, kutunishiana misuli, kuoneshana ubabe, kuharibiana, kuumbuana, kuzalilishana nakadhalika wakadhalika.
Bi. Kasinde.
We Bibi niache..Hivi wakisema nanga inapaa maana yake nini?
Baharia kazi yake ni kwenye meli, ili meli isimame inahitaji nanga ikamate kwenye mwamba ili meli isipelekwe na mawimbi...
Nanga imekaza??
Corona sio poa aisee lazima uogope hapa Congo imepita na mtu wa idara ya Mawasiliano ya rais Ikulu, ila kuwa makini na nyungu kasinde wangu maana kuna jamaa alijifukiza mpaka ngozi ikatoka
Dah! Sasa tutapataje watoto kama utapiga hifadhi..??Huko si ndio panakupa jeuri so na mimi nakomaa napo hadi uache hyo tabia
Hivi nyungu unapiga na wewe?Nipoo, Covid 19 na nyungu vimenifichaa...
Shida ndio hyo maana tunatofautiana kiwango cha hasira. Bora mtu utulie tu na mkeo/mumeo au kama umeshindwa sana basi kachepukie mbali huko, mwenzako hata asihisi kama umetoka njeOf course Inatakaga ujasiri sana,kukupiga hujui mtu mwisho wa hasira zake,anaweza hata kukuchoma moto...
Ukitulia ndoani tutapata watoto wengi tu wazuriDah! Sasa tutapataje watoto kama utapiga hifadhi..??
😅Ukitulia ndoani tutapata watoto wengi tu wazuri
Kabisa...[emoji119][emoji119]Sio poa kabisa mkuu, kama vipi achana nae tu utulie na mkeo kabla haujapata kesi ya jinai.
Kwenye ishu kama hizo wanawake tunakuaga na reaction za ajabu af kuja kujutia ni badae na inakua too late.
Hamna cha kupambana. Anatakiwa kuondoka huwezi kulazimisha mapenzi.Huyo mama akapambane mjmewe ( vicent )
Anampiga dada wa watu hivyo
Et Vicent anaweza tembea na huyu; kwamba ni mbaya au?
Anyways itakua hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano hii video,Huyu mfumanizi anaonekana mcha mungu,hasira zake zilipungua kutokana na majirani kumuombea msamaha,hata huo mtaa wanaoishi wanakiwango Fulani cha ustaarabu,HIVI ITOKEE HII USWADHI,HATA NGUO ASINGEKUWA NAYO HIYOShida ndio hyo maana tunatofautiana kiwango cha hasira. Bora mtu utulie tu na mkeo/mumeo au kama umeshindwa sana basi kachepukie mbali huko, mwenzako hata asihisi kama umetoka nje
Hivi nyungu unapiga na wewe?
Angekua mcha Mungu kweli, asingemdhalilisha mwanamke mwenzake hivyo na kumpiga kwa kosa la mumeweMfano hii video,Huyu mfumanizi anaonekana mcha mungu,hasira zake zilipungua kutokana na majirani kumuombea msamaha,hata huo mtaa wanaoishi wanakiwango Fulani cha ustaarabu,HIVI ITOKEE HII USWADHI,HATA NGUO ASINGEKUWA NAYO HIYO
Ndio hasira hizo,siunaona alivyoomba Samahani na video yenyewe iliishia hapoAngekua mcha Mungu kweli, asingemdhalilisha mwanamke mwenzake hivyo na kumpiga kwa kosa la mumewe