Swali nimekuliza jepesi mpaka sasa umebaki kujing'ata ng'ata.
Mimi sijauliza kuhumu abrahamic religions dhidi ya taoism.
Turudi kwenye swali.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Sasa ulishindwa vipi kujibu ndio toka mwanzo ?Jibu ni rahisi sana. Ndiyo. Kifanye siasa 100%
Haya swali la pili.Jibu ni rahisi sana. Ndiyo. Kifanye siasa 100%
Sasa ulishindwa vipi kujibu ndio toka mwanzo ?
Haya swali la pili.
Upo tayari kufanya political revolution ?
π€‘ Endelea kuiota tu China ila ni mfupa mgumu ambao hautauweza kamwe watu wajinga kama nyie mnataka kuwa kama China unafikiri ni rahisi si maafa ya kutisha yatatokea.Duu, sorry, sina muda wa kuanza kujadili mambo haya.
SawaWatu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...www.jamiiforums.com
Kakojoe ukalale, mimi sio level yako.Umeona sasa ulivyo mjinga kama unashindwa kufahamu kuwa China inaongozwa na atheist party utaweza vipi kufahamu mambo mengine ya muhimu ya msingi kama haya madogo yana kushinda.
Unafahamu hata Karl Marx anaplay nafasi gani ya ukana Mungu katika vyama vya kikomunisti.
Ukomunisti unaufahamu kweli au unauchukulia kiwepesi wepesi.
Turudi kwenye swali.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Ukiwa mtawala unaetaka nchi yakoikae vizuri lazima uwe katilii sana. Maana watu unaongoza wengi wamejazwa ujinga sana na watawala wasio na uzalendo na nchi yao. Binafsi sioni Kama alikuwa na shida.Magu angeheshimu haki za binadamu na demokrasia asingekuwepo wala kutokea kama yeye.
π€‘ Endelea kuiota tu China ila ni mfupa mgumu ambao hautauweza kamwe watu wajinga kama nyie mnataka kuwa kama China unafikiri ni rahisi si maafa ya kutisha yatatokea.
Swali mpaka sasa hujajibu au haufahamu chama kinacho ongoza China ?.Kakojoe ukalale, mimi sio level yako.
Tao, Budha, n.k zote ni imani sawa na wewe unaoabudu dini za mashariki ya kati.
Tatizo umekaribishwa kuwa mtu akiabudu nje ya dini hizo ni mpagani.
Ajabu hata hizo dini zako pia zinapingana.
Ukristo na uislamu unapingana.
Ukristo na ukristo unapingana.
Uislamu na uislamu unapingana.
Jifunze kuziishi na kuzielewa imani za wengine.
Ndio hamuwezi kwanza matahira ni wengi sana unataka niseme mnaweza kukufurahisha wewe ?Sawa ewe muerevu, endelea kuota kama hivyo ulivyo, maana unaishi katika ulimwengu wa kujikataa kwamba sisi kamwe hatuwezi kutoka hapa tulipo.
chagua kimoja demokrasia ama umeme? Hupewi vyote, umechagua demokrasia haya usilalamikie umeme sasaMagu angeheshimu haki za binadamu na demokrasia asingekuwepo wala kutokea kama yeye.
Na wengi wasichozingatia ni kuwa wanawaza zikisemwa jenereta basi ni hizi tunazowasha saluni na kunyolea,Tulichukulia kama porojo alipokuwa anasema haya. Mwaka huu jenereta zimeuza balaa.
Unapodili na wahuni kama Kipara, unaachaje kuwa diktetaMagu angeacha udikteta angekuwa Rais poa sana
Wewe akili hauna ni wa kusamehewaUzushi kama huu Huwa watu wenye akili ndogo mnaamini propaganda.
Eti ukikatika kidogo tuu unarudi πππ
Eleza ni kivipi unahitaji udikteta zaidi ya taratibu za kawaida za kuwajibishana. Kama taratibu za kawaida unamkosa basi unataka kumuoneaUnapodili na wahuni kama Kipara, unaachaje kuwa dikteta
Mwamba ππWatu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...www.jamiiforums.com