eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Swali nimekuliza jepesi mpaka sasa umebaki kujing'ata ng'ata.
Mimi sijauliza kuhumu abrahamic religions dhidi ya taoism.
Turudi kwenye swali.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Jibu ni rahisi sana. Ndiyo. Kifanye siasa 100%